Tambiko Kubwa lafanyika Mtwara Gas isitoke

Tambiko Kubwa lafanyika Mtwara Gas isitoke

Kama Gas ya ushuzi ndio itatoka mtwara kwenda bagamoyo. Watu wa mtwara mimi wananiacha hoi katika ile mambo yao ya kuchoma moto mali za serikali na viongozi wa serikali.
Hawa jamaa tukiwalazimisha gas itoke, sichelei kusema ipo siku wataichoma moto gas na hapo ndio itakuwa balaa.
 
kwa serikali hii ya CCM na wahisani gas lazima isafirishwe hadi DSM...
Sababu kuu ya mradi huu ni kwaajili ya mradi mkubwa wa Jiji la Kigamboni..
Jiji hili lililo planiwa na Waamerika linaisubua sana Watanzania hasa wakipato cha chini(masikini)
Gas kutoka Mtwara kuja dsm ni maandalizi ya nishati ya jiji hili jipya la Kigamboni.
Wahisani wa mradi huu wa jiji la kigamboni hawana nishati mbadala isipokua GAS kutoka Mtwara.
Serikali ya wanaCCM itajitaidi kwa nguvu zote ilikufanikisha mradi huu wa gas umefika jiji Dsm
kwa ajili ya muendelezo wa kujenga jiji jipya..
Walianza na Ardhi za watu Kigamboni,Wakaja na mradi wa daraja kigamboni na sasa gas lazimeifike kigamboni...
Tuwe makini na watawala wetu,ni watu walaghai sana,wezi na matapeli kwa wananchi.
 
ina maana hata kwa superstition back up toka kwa makada nguli wa maccm kama majimarefu,kingunge ngombale mwiru wazee wa dar nk.bado haitatoka?!.
 
lets keep on believe illusion uenda isitoke wanamtwara wakiamua wenyewe kwani ideology ya bibi yaweza kutumika tu kama morali kwa wanamtwara.
 
hakuna tambiko litazuia gesi(sayansi inakataa) labda nguvu ya umma.
 
Katika sehemu ambayo
utajiri mkubwa wa Gas umegundulika kijiji cha kitamaduni cha Msimbati
Bibi Kikongwe anayejurikana kama Nakinyesa amefanya tambiko babu kubwa
ambalo aliweka maji kwenye chupa ya maji iliyowazi na kufanyia matambiko
baada ya muda akampa mtoto ayamwage hayo maji,ila mtoto alipomwaga maji
maji hayo hayakumwagika,ndipo bibi akatamka kuwa kama maji yameshindwa
kumwagika basi
gas haitatoka.
Kijiji cha Msimbati kina Historia kubwa kwani kwani kuna sehemu inaitwa
Matumbini watu waliwahi kubadilika na kuwa mawe na sehemu hiyo hata
ukipiga picha hakuna image inayotoka.

tumia makalio yako kwa kukalia tu na kuwaburudishia waliberali wenzako..!nimeishi mtwara kwa more than 4 yrs,na nimepiga job sana msimbati,hakuna habari kama hzo,eti watu wamewahi kugeuka mawe.!
hivi wewe mzima kweli.?
 
Katika sehemu ambayo utajiri mkubwa wa Gas umegundulika kijiji cha kitamaduni cha Msimbati Bibi Kikongwe anayejurikana kama Nakinyesa amefanya tambiko babu kubwa ambalo aliweka maji kwenye chupa ya maji iliyowazi na kufanyia matambiko baada ya muda akampa mtoto ayamwage hayo maji,ila mtoto alipomwaga maji maji hayo hayakumwagika,ndipo bibi akatamka kuwa kama maji yameshindwa kumwagika basi gas haitatoka.
Kijiji cha Msimbati kina Historia kubwa kwani kwani kuna sehemu inaitwa Matumbini watu waliwahi kubadilika na kuwa mawe na sehemu hiyo hata ukipiga picha hakuna image inayotoka.

Tanzania inaongoza kwa ushirikina hata mambo ya msingi yanapotoshwa !!!
Ukweli ni kwamba mada hii haikupaswa kuja hapa na kujadiliwa kwa kuwa msingi wake ni Ushirikina!!!
Wana jf ni great thinker kiasi cha kuepuka kuchangia suala la ushirikina ktk mambo ya maendeleo!!!
Lakini kwa kuwa Kikombe cha shetani Loliondo kilipata washabiki kutoka humu !!!
 
Nchi yetu tunamhitaji MUNGU SANA na hizi imani za ajabu ajabu zinaligharimu Taifa. Elimu na Ufahamu wa KIMUNGU ni muhimu sana kwa ustawi wa TAIFA.
 
huyu bibi si ajenge maghorofa, shule, hospital na mabarabara au ndio mikwala yake inaishia kwenye maji yaliyomo kwenye chupa tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom