Tambiko Kubwa lafanyika Mtwara Gas isitoke

Tambiko Kubwa lafanyika Mtwara Gas isitoke

ila wamtwara nyie ni wanafsi(wachoyo) yani changu tule wote chenu mle wenyewe dah haya bana yote maisha tu ngoja na sisi tukate huduma msije hospital zetu msitumie umeme wetu wala msile chakula tunacholima sisi msije mbuga zetu msinunue vifaa vyetu mbaki na gesi yenu


Kuwakataza wasije huku hauwatendei haki wamakonde maana wao hawajakata Mtanzania yeyote kwenda kufanyakazi kwenye makampuni ya Gesi Mtwara. Wao wanasema shughuli zote zifanyikie mkoani mwao so wewe jipange tu kwenda kuishi mtwara kama unataka kufanyakazi kwenye viwanda vya gesi.
 
Chezea bibi.
Jana nilikuwa na wazungu fulani mmoja wao ni mganga kanifurahisha sana .ningempata aungane na bibi gas mwisho haitoki.
 
Watu wa 'N'TWARA ni nouma.....yani wanakaba kwanzia ki sayansi hadi kitamaduni.
 
chezea makonde, gechi aitoki ng'ooo
 
Kwa nini alishindwa kuigundua kwanza yeye,kasubiri wengine wagundue ndio kanaongea hako kabibi!

Mtu ushazeeka badala ya kutubu unakalia uchawi!
 
Wewe jamaa wako juu!si umesoma uzi unavyosomeka jinsi 'mwanasayansi kikongwe' alivyodefy the law of gravity maji haya kumwaika? mie nataka wanifundishe jinsi ya kuruka na ungo!

Hawa jamaa wangekuwa wakweli si wangemuomba huyo kikongwe ammalize huyo aliyesaini hiyo mikataba ya kuitoa hiyo gesi kutoka huko Mtwara!! Acheni usanii wenu nyie wamamkonde!
 
Tumetumia siasa imeshindikana sasa acha tutumie nguvu za mababu coz hawa jamaa watata hawakawii kutuuza na sisi" slavery period" Hakuna cha obuma wala bushe samahani wadau nina tatizo la pronounciation za kiswahili, tiheee! tiheeeeee, magamba mpooooooooooooo!:lock1:
 
ila wamtwara nyie ni wanafsi(wachoyo) yani changu tule wote chenu mle wenyewe dah haya bana yote maisha tu ngoja na sisi tukate huduma msije hospital zetu msitumie umeme wetu wala msile chakula tunacholima sisi msije mbuga zetu msinunue vifaa vyetu mbaki na gesi yenu

Acha mitazamo ya kinapenape!!!🙂
 
Duh, hiyo avtar yako mbona kama wewe ndiyo bibi mwenyewe! Mimi siungi mkono kudai haki na mabadiliko kwakufanya matambiko. Suluhisho si matambiko ila nikushikamana katika kupinga utawala kandamizi. Hiyo gesi haiwezi kuzalishwa mtwara nakubakia mtwara all the time. Lazima itoke ili iwe na faida kwa wanamtwara na nchi kwa ujumla. Jambo lamuhimu kuwe na explicit strategies za jinsi gani watu wa mtwara watanufaika kupitia gesi hiyo.

Katika sehemu ambayo utajiri mkubwa wa Gas umegundulika kijiji cha kitamaduni cha Msimbati Bibi Kikongwe anayejurikana kama Nakinyesa amefanya tambiko babu kubwa ambalo aliweka maji kwenye chupa ya maji iliyowazi na kufanyia matambiko baada ya muda akampa mtoto ayamwage hayo maji,ila mtoto alipomwaga maji maji hayo hayakumwagika,ndipo bibi akatamka kuwa kama maji yameshindwa kumwagika basi gas haitatoka.
Kijiji cha Msimbati kina Historia kubwa kwani kwani kuna sehemu inaitwa Matumbini watu waliwahi kubadilika na kuwa mawe na sehemu hiyo hata ukipiga picha hakuna image inayotoka.
 
Wangefanya tambiko umasikini wao uishe!
Ni ibilisi amewakaalia na wataishia kufanya matambiko na gas inakuja Dar
 
NAMKWAKWA,

hivo mtani wangu kwani ndio bado unaamini vizee hivo? sayansi and teknolojia hazirogeki mkuu
 
Yale yale ya Babu wa Samunge hakuna cha tambiko wala cheketucheketu hapo wanataka wawa aminishe watu kwamba limeshafanyika tambiko gas haitoki ili hata sirikali ikiendelea kutandaza mabomba watu wakae kimya wajue inacheza tu hamna gas thubutu yenu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom