Takwimu: Zijue nchi masikini Duniani

Takwimu: Zijue nchi masikini Duniani

Kesho ukiambiwa na hao unaowaabudu kwamba wanaijua Dunia kwamba Tanzania ni nchi ya kwanza Duniani kwa uchumi imara Utakenua meno. Achana na data za wazungu, angalia haliya uchumi wako na wanaokuzunguka ukoje. Acha vya kuambiwa tumia akili na macho.

Si kila jambo unapaswa kubisha we bw.eg.e,tueleze wewe kwakutumia macho yako tz ni nchiya ngapi:clap2:
 
Kwa hiyo visiwa vya Comoro na Somalia pia ziko juu zaidi yetu kiuchumi....?
Maana hazimo
 
waafrika tuamke.....kila kesho tunapiga kelele kuwa umasikini unawatesa wananchi hapa tz.
Kama vigezo vinavyotumika kupima umasikini ni uniform kwa nchi zote duniani, huenda kuna mapungufu makubwa! Lakini pasipo kuliweka hili vizuri...la vigezo muafaka, tutaendelea kusikia sifa za maendeleo na mafanikio kwa nchi za afrika ambayo ni hewa (artificial).
Suala la msingi ni kutambua na kuukabili umasikini halisia na sio majedwali ya wanauchumi wa Chuo cha Yale, Benki ya Dunia, IMF, au Bonn Ujerumani!
 
Unachukua kipato cha RIZ1 na mafisadi wengine, Unagawanya kwa idadi ya watanzania alafu unakuja kusema, Tanzania sio Masikini?
wewe wa wapi?
Unafikiri kw akutimia nini?
Inatofauti gani na takwimu z akila siku za BOT na WIZARA kuwa UCHUMI UNAPAAA, huku watu hawan kitu MFUKONI ?
 
Watu wameng'ngania takwimu za miaka 20 iliyopita .. Tanzania nchi ya tatu kwa umasikini Duniani mara Tanzania nchi ya kwanza kwa umasikini Duniani. Angalia Orodha ya Nchi masikini kutoka katika macho ya watu wanaoijua Dunia. Tanzania haimo kwanye orodha ya nchi 25 masikini zaidi Duniani.. Hii maana yake imependa sana katika miaka ya hivi karibuni kutoka nafasi ya 3 hadi nafasi ya 26! Aidha kwa kasi tuliyonayo tunaendelea kuzivuta nyuma nchi mbali mbali na kwenda juu zaidi. Aidha Tanzania inatajwa kuwa moja kati ya nchi 10 duniani ambazo uchumi wake unakuwa kwa kasi. Nchi Tajiri zaidi Duniani ni Qatar!

https://fbcdn-sphotos-e-a.akamaihd....0x720/1001011_545338152168858_129569371_n.jpg
Kabla haujapost hii thread ungetakiwa kujiuliza maswali yafuatayo
1. Hapa duniani kuna nchi ngapi?
2. Kuna nchi ambazo hazina Rasilimali kama Tanzania kwa nini sio masikini?
3. Tanzania ina Rasilimali nyingi na zingine zinapatikana tanzania Pekee kwa nini ni masikini?
4. Je hiyo nafasi ya 26 ni ya kujivunia?
Ukipata majibu ya maswali hayo sidhani kama unaweza kushabikia hiki ulichokiwasilisha
 
1001011_545338152168858_129569371_n.jpg
 
Si kila jambo unapaswa kubisha we bw.eg.e,tueleze wewe kwakutumia macho yako tz ni nchiya ngapi:clap2:
Mimi sijadili kwamba TZ ni yangapi? Nachosema watu wanashangilia chakuambiwa toka kwa wazungu wakati ukweli wa maisha yetu ya Kitanzania sote tunayajua yalivyo.
 
Watu wameng'ngania takwimu za miaka 20 iliyopita .. Tanzania nchi ya tatu kwa umasikini Duniani mara Tanzania nchi ya kwanza kwa umasikini Duniani. Angalia Orodha ya Nchi masikini kutoka katika macho ya watu wanaoijua Dunia. Tanzania haimo kwanye orodha ya nchi 25 masikini zaidi Duniani.. Hii maana yake imependa sana katika miaka ya hivi karibuni kutoka nafasi ya 3 hadi nafasi ya 26! Aidha kwa kasi tuliyonayo tunaendelea kuzivuta nyuma nchi mbali mbali na kwenda juu zaidi. Aidha Tanzania inatajwa kuwa moja kati ya nchi 10 duniani ambazo uchumi wake unakuwa kwa kasi. Nchi Tajiri zaidi Duniani ni Qatar!

https://fbcdn-sphotos-e-a.akamaihd....0x720/1001011_545338152168858_129569371_n.jpg

Simple minds.....ccm property.
 
Kama somalia haipo kutakuwa na kasoro hapa
 
Huyo ndo tume ya katiba! Akiokota jalalani analeta hapa!
 
Watu wameng'ngania takwimu za miaka 20 iliyopita .. Tanzania nchi ya tatu kwa umasikini Duniani mara Tanzania nchi ya kwanza kwa umasikini Duniani. Angalia Orodha ya Nchi masikini kutoka katika macho ya watu wanaoijua Dunia. Tanzania haimo kwanye orodha ya nchi 25 masikini zaidi Duniani.. Hii maana yake imependa sana katika miaka ya hivi karibuni kutoka nafasi ya 3 hadi nafasi ya 26! Aidha kwa kasi tuliyonayo tunaendelea kuzivuta nyuma nchi mbali mbali na kwenda juu zaidi. Aidha Tanzania inatajwa kuwa moja kati ya nchi 10 duniani ambazo uchumi wake unakuwa kwa kasi. Nchi Tajiri zaidi Duniani ni Qatar!

https://fbcdn-sphotos-e-a.akamaihd....0x720/1001011_545338152168858_129569371_n.jpg

Sasa mbona unachanganya mambo? Tanzania iwe moja ya nchi masikini duniani ili iweje? Unaambiwa Tanzania ni moja ya nchi tajiri sana duniani kutokana na rasilimali tulizonazo ila utawala mbovu wa viongozi wetu waliopita na wa sasa ndiyo inatufanya 85% yetu kuwa mafukara na kuishi chini ya dola moja kwa siku. Viongozi wetu wako bize kuiba na wananchi wake wako bize kuhaibisha nchi nje kwa kuuza unga nchi za watu huku serikali ikijuwa bila hata kufuatilia na kuwachukulia hatua hawa watu wanaohaibisha nchi yetu. Wasanii kibao na wanawake (mafashionista wa jiji) kazi yao kubwa ni hii, mtu hana elimu yeyote wala kigezo cha yeye kuwa milionea utashangaa kila kukicha yuko Nigeria, South Afrika, India, Brazil, Pakistan, China, Scandinavia countries, Italy, Portugal, Spain, Ugiriki, Uturuki, eti kufanya shopping huku Bongo wazazi wake hata uwezo hawana.
 
Vyovyote utakavyosema hatupaswi kuwemo kwenye orodha ya masikini.wakati mwingine muwe na aibu kwa hiyo u maskini kidogo nao ni sifa.wajinga ndio waliwao
 
Nyerere alitutoa kutoka nchi ya kwanza Afrika kusafirisha mazao ya kilimo tulipopata Uhuru mpaka kuwa omba-omba kwa miaka saba tu ya mwanzo aliyotawala, iliyobaki ndio akatupeleka kwenye uhohe-hahe wa mwisho duniani, maskini kuliko wote.

Kikwete katutowa huko na anazidi kutupaisha, miradi yake aliyoanzisha ndio misingi ya kutupeleka tunapopataka.

bongo lala.
 
Wewe mwenyewe kwa akili yako hushangai?hata wakati unaandika status hii ulikuwa huna uhakika wa kula nini kesho!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Tanzania haimo kwanye orodha ya nchi 25 masikini zaidi Duniani.. Hii maana yake imependa sana katika miaka ya hivi karibuni kutoka nafasi ya 3 hadi nafasi ya 26!

Mie nilifikiri haimo kabisa kwenye nchi maskini!
Kumbe iko ya 26!
Kwa hiyo ni sawa na kusema Tanzania ni nchi ya 26 kwa UMASKINI DUNIANI....!
Sijui kwa nini umeamua kuishia nchi 25 wakati ukijua kwamba ungeenda hadi namba 30 nchi yetu ungaliikuta!
Hata hivyo, ululinganisha na tafiti zipi za ndani zinazoonesha hali ya lishe, afya, upatikanaji wa maji, na elimu?
Ni umaskini upi uliopungua wakati mwezi haujapita tangu tupate 60% ya F.IV failures?
Watu wa TAKWIMU bwana!
 
Kabla haujapost hii thread ungetakiwa kujiuliza maswali yafuatayo
1. Hapa duniani kuna nchi ngapi?
2. Kuna nchi ambazo hazina Rasilimali kama Tanzania kwa nini sio masikini?
3. Tanzania ina Rasilimali nyingi na zingine zinapatikana tanzania Pekee kwa nini ni masikini?
4. Je hiyo nafasi ya 26 ni ya kujivunia?
Ukipata majibu ya maswali hayo sidhani kama unaweza kushabikia hiki ulichokiwasilisha

ww ulipojiuliza haya maswali ya kijinga ambayo tayari majibu yapo hapo umeelewa nn? Kabla hujapost hii comment ulitakiwa usome kwanza maelezo ya mleta mada na kuingia kwenye hiyo link, tatizo vijana wa bavicha ni uvivu wa kutumia akili zenu
 
Back
Top Bottom