Takwimu: Zijue nchi masikini Duniani

Takwimu: Zijue nchi masikini Duniani

Kabla haujapost hii thread ungetakiwa kujiuliza maswali yafuatayo
1. Hapa duniani kuna nchi ngapi?
2. Kuna nchi ambazo hazina Rasilimali kama Tanzania kwa nini sio masikini?
3. Tanzania ina Rasilimali nyingi na zingine zinapatikana tanzania Pekee kwa nini ni masikini?
4. Je hiyo nafasi ya 26 ni ya kujivunia?
Ukipata majibu ya maswali hayo sidhani kama unaweza kushabikia hiki ulichokiwasilisha

kwa mtu anayetumia kichwa kufuga nywele peke yake lazima anapinga takwimu hizi
 
mbona wachangiaji mmecha maada.
Hata kama kuna maswali yaulizwe kwa mstakabali wake. Mfano hizo takwimu za nchi maskin/tajiri zina vigezo na vipimo vyake. Kwa hapa kuna watu wameleta vigezo vya PPP, per capital, GDP growth, na kuna HDIs hivyo vyote viko na takwimu zake.
kukua kwa uchumi, hakumanishi maendeleo kwenye nchi husika ( soma Economic growth not same as economic development) vigezo na vipomo ni tofauti.
Mtu wakawaida mabaye siyo mchumi na wala msomi wa takwimu anahitaji kuona maendeleo yanaguza maisha yake ya kila siku. WB ( benk ya dunia wameanzisha kipimo kingine cha ulinganivu) wanaita Human Development Indexes, hii inajumlisha huduma za kijamii, kiuchumi na pato la watu, thamani ya fedha yake n.k. Kwa sasa wanafanyia kazi jinsi ya kupata takwimu toka sector zisizo rasmi hasa kwenye nchi za kipato cha chini, na kipato cha chini-kati ambako sector hiyo imekuwa ikifanywa na kundi kubwa la wananchi.

0.5cnts
Note:fanyeni iwe sehemu ya mjadala tujifunze mambo ya uchumi siyo majibizano yasiyo na tija!!
SP
 
habari za kwenye makaratasi, ukitaka majibu halisi tembelea hospitali za serikali za mikoa, usihangaike sana we ingia ndani ya wodi na kinamama na watoto!! ukimaliza mikoa yote utapaata jibu sahihi.
 
hizi comparison zingine ni kichefu chefu halafu jitu lina chekelea eti tumepiga hatua wakati hta wacomoro na sekta ya uvuvi tu wanatutoa jasho huku tz ikiwa na kila aina ya rasilimali kila pande ya dunia!
 
Watu wameng'ngania takwimu za miaka 20 iliyopita .. Tanzania nchi ya tatu kwa umasikini Duniani mara Tanzania nchi ya kwanza kwa umasikini Duniani. Angalia Orodha ya Nchi masikini kutoka katika macho ya watu wanaoijua Dunia. Tanzania haimo kwanye orodha ya nchi 25 masikini zaidi Duniani.. Hii maana yake imependa sana katika miaka ya hivi karibuni kutoka nafasi ya 3 hadi nafasi ya 26! Aidha kwa kasi tuliyonayo tunaendelea kuzivuta nyuma nchi mbali mbali na kwenda juu zaidi. Aidha Tanzania inatajwa kuwa moja kati ya nchi 10 duniani ambazo uchumi wake unakuwa kwa kasi. Nchi Tajiri zaidi Duniani ni Qatar!

https://fbcdn-sphotos-e-a.akamaihd....0x720/1001011_545338152168858_129569371_n.jpg

Takwimu, takwimu na takwimu. Watu hawawezi kula takwimu. Kama hali imebadilika kiasi hicho, je maisha ya mwananchi wa kawaida hasa wa kijijini yameboreka? Aliuliza mzee Small katika tangazo moja, uchumi unakua kuelekea wapi? Juu au chini. Kukua huko kwa uchumi kumeongeza wingi na idadi ya masufuria ya ugali? Kama sivyo, ni upuuzi mtupu!
 
Nchi ya 49 iko bara gani? This is not a reliable source of information web site!
 
mmh!! tanzania sio maskini lakini wananchi wake ni maskini wa kutupwa (which is which)
 
Kaa kushoto jinga wewe!
[TABLE="class: contentpaneopen, width: 2350"]
[TR]
[TD="class: contentheading"]The Poorest Countries in the World[/TD]
[TD="class: buttonheading, width: 100%, align: right"] [/TD]
[TD="class: buttonheading, width: 100%, align: right"] [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: contentpaneopen, width: 2350"]
[TR]
[TD][TABLE="width: 2335, align: center"]
[TR]
[TD]There are two standard methods of measuring the wealth of countries and how rich or poor its inhabitants are. The measure most often used is Gross Domestic Product (GDP), which represents the size of a country’s economy. A refinement of this is per-capita GDP, which is a measure of the average welfare and affluence, or poverty, of residents of a country. However, GDP and per-capita GDP are less useful when comparing economies across national boundaries – which one must do to determine the poorest countries in the world – because GDP is expressed in a country’s local currency.

The measure that most economists prefer is GDP at purchasing power parity. GDP (PPP) compares generalized differences in living standards on the whole between nations because PPP takes into account the relative cost of living and the inflation rates of countries, rather than using just exchange rates, which may distort the real differences in income.

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="width: 2335, align: center"]
[TR]
[TD]The figures below include data and forecasts for the wealth of countries and regions from 2009 to 2013. Source: the IMF (unless otherwise specified).[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Read more: The Poorest Countries in the World | Global Finance

Watu wameng'ngania takwimu za miaka 20 iliyopita .. Tanzania nchi ya tatu kwa umasikini Duniani mara Tanzania nchi ya kwanza kwa umasikini Duniani. Angalia Orodha ya Nchi masikini kutoka katika macho ya watu wanaoijua Dunia. Tanzania haimo kwanye orodha ya nchi 25 masikini zaidi Duniani.. Hii maana yake imependa sana katika miaka ya hivi karibuni kutoka nafasi ya 3 hadi nafasi ya 26! Aidha kwa kasi tuliyonayo tunaendelea kuzivuta nyuma nchi mbali mbali na kwenda juu zaidi. Aidha Tanzania inatajwa kuwa moja kati ya nchi 10 duniani ambazo uchumi wake unakuwa kwa kasi. Nchi Tajiri zaidi Duniani ni Qatar!
1001011_545338152168858_129569371_n.jpg

https://fbcdn-sphotos-e-a.akamaihd....0x720/1001011_545338152168858_129569371_n.jpg

Kwa hiyo umeona 26 ni mbali sana na 25? Au hujui kwenye hiyo list Tz ni ya 26? Halafu labda ilikuwa ya zamani kwani Ethiopia wamepanda sana hawapo kwenye hiyo list.
 
Mie nilifikiri haimo kabisa kwenye nchi maskini!
Kumbe iko ya 26!
Kwa hiyo ni sawa na kusema Tanzania ni nchi ya 26 kwa UMASKINI DUNIANI....!
Sijui kwa nini umeamua kuishia nchi 25 wakati ukijua kwamba ungeenda hadi namba 30 nchi yetu ungaliikuta!
Hata hivyo, ululinganisha na tafiti zipi za ndani zinazoonesha hali ya lishe, afya, upatikanaji wa maji, na elimu?
Ni umaskini upi uliopungua wakati mwezi haujapita tangu tupate 60% ya F.IV failures?
Watu wa TAKWIMU bwana!
samahani mkuu, mbona umejikanyaga sana. kwann usikubali tu kuwa nchi yetu inajitahidi sana kupambana na umaskini ndio mana haipo tena kwenye nchi 20 maskini sana duniani
 
Watu wameng'ngania takwimu za miaka 20 iliyopita .. Tanzania nchi ya tatu kwa umasikini Duniani mara Tanzania nchi ya kwanza kwa umasikini Duniani. Angalia Orodha ya Nchi masikini kutoka katika macho ya watu wanaoijua Dunia. Tanzania haimo kwanye orodha ya nchi 25 masikini zaidi Duniani.. Hii maana yake imependa sana katika miaka ya hivi karibuni kutoka nafasi ya 3 hadi nafasi ya 26! Aidha kwa kasi tuliyonayo tunaendelea kuzivuta nyuma nchi mbali mbali na kwenda juu zaidi. Aidha Tanzania inatajwa kuwa moja kati ya nchi 10 duniani ambazo uchumi wake unakuwa kwa kasi. Nchi Tajiri zaidi Duniani ni Qatar!
1001011_545338152168858_129569371_n.jpg

https://fbcdn-sphotos-e-a.akamaihd....0x720/1001011_545338152168858_129569371_n.jpg

Mkuu, yaani wewe unafurahia Tanzania kuwa ya 26 kwa umasikini duniani? Hebu twambie kwa nini tunapashwa kuwa kwenye list ya nchi masikini? Tiba
 
Haya tena hawa magamba kila siku wanaleta takwimu zisizo na mashiko.Kisa, Obama kuja Tanganyika.Shame on you.
Watu wameng'ngania takwimu za miaka 20 iliyopita .. Tanzania nchi ya tatu kwa umasikini Duniani mara Tanzania nchi ya kwanza kwa umasikini Duniani. Angalia Orodha ya Nchi masikini kutoka katika macho ya watu wanaoijua Dunia. Tanzania haimo kwanye orodha ya nchi 25 masikini zaidi Duniani.. Hii maana yake imependa sana katika miaka ya hivi karibuni kutoka nafasi ya 3 hadi nafasi ya 26! Aidha kwa kasi tuliyonayo tunaendelea kuzivuta nyuma nchi mbali mbali na kwenda juu zaidi. Aidha Tanzania inatajwa kuwa moja kati ya nchi 10 duniani ambazo uchumi wake unakuwa kwa kasi. Nchi Tajiri zaidi Duniani ni Qatar!
1001011_545338152168858_129569371_n.jpg

https://fbcdn-sphotos-e-a.akamaihd....0x720/1001011_545338152168858_129569371_n.jpg
 
kwa wale wanaotoka kwao KUMPEKENYELA KUJA DAR KISHA KURUDI KWAO!!! hili wataona ni jambo lisilowezekana.
ila kwa wale wanaobahatika kusafiri nchi mbalimbali hususan majirani zetu,, ni wazi watakubaliana na takwimu hizo au hata kuzipinga kwa kutuweka juu sana na umasikini kuliko hali halisi.
aina ya maisha na kiwango cha maisha ya mtanzania kiko juu sana ukilinganisha na majirani zetu wooote including KENYA. HILI HAMUWEZI KUAMINI KAMA HAKUNA UNAKOKUJUA ZAIDI YA KIJIJINI KWENU NA DAR
 
Watu wameng'ngania takwimu za miaka 20 iliyopita .. Tanzania nchi ya tatu kwa umasikini Duniani mara Tanzania nchi ya kwanza kwa umasikini Duniani. Angalia Orodha ya Nchi masikini kutoka katika macho ya watu wanaoijua Dunia. Tanzania haimo kwanye orodha ya nchi 25 masikini zaidi Duniani.. Hii maana yake imependa sana katika miaka ya hivi karibuni kutoka nafasi ya 3 hadi nafasi ya 26! Aidha kwa kasi tuliyonayo tunaendelea kuzivuta nyuma nchi mbali mbali na kwenda juu zaidi. Aidha Tanzania inatajwa kuwa moja kati ya nchi 10 duniani ambazo uchumi wake unakuwa kwa kasi. Nchi Tajiri zaidi Duniani ni Qatar!
1001011_545338152168858_129569371_n.jpg

https://fbcdn-sphotos-e-a.akamaihd....0x720/1001011_545338152168858_129569371_n.jpg

kumbukumbu dhangu dhinaonyesha BONGO tulishafika nafasi dha 30's kwahiyo kama tumekua wa 26 then tumeshuka hivi karibuni.
 
Haya yote ni kama megawati tu... Hivi aliyekuwa anakula mlo mmoja mwaka 1990 sasa anakula milo mingapi..?? Mimi haya matakwimu ni sawa na yule waziri anayetaja megawati kila anapoulizwa wakati mgao wa umeme upo pale pale..
 
Back
Top Bottom