Takwimu: Zijue nchi masikini Duniani

Takwimu: Zijue nchi masikini Duniani

Hizi data sijui zinakusanywa vipi lakini kiuhalisia nadhani kuna makosa makubwa sana. kwa mfano imenishangaza kwamba Haiti na Sierra leone zinawapita Malawi, Zimbabwe na nchi nyingine ambazo kwa kweli huwezi kuzilinganisha na Haiti na Sierra Leone.
Kuna upikaji mkubwa katika hizi data either kwa maslahi yao hao wakubwa. Haitashangaza kesho tukiambiwa Tanzania imewapita Kenya kwa umaskini maana support ya magayanti yote tunayo wakati wao Kenya wameamua kuchagua Criminals wawaongoze.
 
N i vigezo(indicators) gani umetumia?Mara nyingi takwimu zinadanganya tu.Kwa mfano..Tanzania tunaambiwa uchumi unakuwa kwa 6.5-7% na ni moja kati ya nchi mambazo uchumi unakuwa kwa kasi!Well n good!but does anyone feels this in real life? Kuna kitu kinaitwa HPI-Happy Planet Index...hapa wanatazama furaha ya watu katika Nchi husika.HPI inaonyesha kwamba Tanzania ni kati ya nchi ambazo wananchi wake hawana furaha na hawaridhishwi kabisa na mambo mengi kama elimu na kiwango cha huduma za afya wazopata nk.Uchumi unaweza ukakuwa numberwise lakini wananchi mtaani wakawa wamekata tamaa tu kwa sababu hiyo impact ya ukuaji uchumi wala hawaifeel kabsaaa!
 
Watu wameng'ngania takwimu za miaka 20 iliyopita .. Tanzania nchi ya tatu kwa umasikini Duniani mara Tanzania nchi ya kwanza kwa umasikini Duniani. Angalia Orodha ya Nchi masikini kutoka katika macho ya watu wanaoijua Dunia. Tanzania haimo kwanye orodha ya nchi 25 masikini zaidi Duniani.. Hii maana yake imependa sana katika miaka ya hivi karibuni kutoka nafasi ya 3 hadi nafasi ya 26! Aidha kwa kasi tuliyonayo tunaendelea kuzivuta nyuma nchi mbali mbali na kwenda juu zaidi. Aidha Tanzania inatajwa kuwa moja kati ya nchi 10 duniani ambazo uchumi wake unakuwa kwa kasi. Nchi Tajiri zaidi Duniani ni Qatar!
1001011_545338152168858_129569371_n.jpg

https://fbcdn-sphotos-e-a.akamaihd....0x720/1001011_545338152168858_129569371_n.jpg

yaani unasubiri hadi wazungu wakwambie wwe ni maskini au wwe ni tajiri nakuomba uache kutuletea takwimu za kipumbavu ebu angalia kijijini kwenu kun watu wangapi wanao pata kwa mwezi agalau laki tatu .
 
And, what is the consensus at last here? AMA: Hamkani, muafaka wetu hapa ni upi?
 
samahani mkuu, mbona umejikanyaga sana. kwann usikubali tu kuwa nchi yetu inajitahidi sana kupambana na umaskini ndio mana haipo tena kwenye nchi 20 maskini sana duniani

Sijajikanganya ndg yangu!
Swali langu lilikuwa Je, Tanzania imo kwenye orodha ya nchi maskini duniani au haimo?
Kui-sort kwa kuiweka katika nchi 20 wakati unajua kwamba nchi maskini ni zaidi ya ishirini, si vyema ki-utafiti ndugu yangu!
Huwezi kujisifu kuwa wa mwisho katika wajinga.....
Kinachotakiwa ni kutokuwemo kabisa katika orodha ya wajinga!
 
Watu wameng'ngania takwimu za miaka 20 iliyopita .. Tanzania nchi ya tatu kwa umasikini Duniani mara Tanzania nchi ya kwanza kwa umasikini Duniani.
https://fbcdn-sphotos-e-a.akamaihd....0x720/1001011_545338152168858_129569371_n.jpg

Sioni Cha kujisifia hapo jaribu kutazama vitu vinavyosababisha uchumi kukua, halafu linganisha nchi yetu na hizo maskini zaidi bila kusahau Utulivu na Amani.
Tizama vizuri katika hii lin
k http://www.gfmag.com/component/content/article/119-economic-data/12537-the-poorest-countries-in-the-world.html#axzz2XyCdVPzC
 
Nyerere alitutoa kutoka nchi ya kwanza Afrika kusafirisha mazao ya kilimo tulipopata Uhuru mpaka kuwa omba-omba kwa miaka saba tu ya mwanzo aliyotawala, iliyobaki ndio akatupeleka kwenye uhohe-hahe wa mwisho duniani, maskini kuliko wote.

Kikwete katutowa huko na anazidi kutupaisha, miradi yake aliyoanzisha ndio misingi ya kutupeleka tunapopataka.

Ngano @work
 
Watu wameng'ngania takwimu za miaka 20 iliyopita .. Tanzania nchi ya tatu kwa umasikini Duniani mara Tanzania nchi ya kwanza kwa umasikini Duniani. Angalia Orodha ya Nchi masikini kutoka katika macho ya watu wanaoijua Dunia. Tanzania haimo kwanye orodha ya nchi 25 masikini zaidi Duniani.. Hii maana yake imependa sana katika miaka ya hivi karibuni kutoka nafasi ya 3 hadi nafasi ya 26! Aidha kwa kasi tuliyonayo tunaendelea kuzivuta nyuma nchi mbali mbali na kwenda juu zaidi. Aidha Tanzania inatajwa kuwa moja kati ya nchi 10 duniani ambazo uchumi wake unakuwa kwa kasi. Nchi Tajiri zaidi Duniani ni Qatar!
1001011_545338152168858_129569371_n.jpg

https://fbcdn-sphotos-e-a.akamaihd....0x720/1001011_545338152168858_129569371_n.jpg

Lakini hizi takwimu inategemeana na source uliyoipata,in fact ukiangalia source mbalimbali na reseacher unagundua tuko maeneo hayohayo ya kati ya 23 hadi 25.
 
The rankings below were published in the United Nation's 2011 Human Development Report and reflect the countries with the lowest human development.
[TABLE="class: tableizer-table"]
[TR]
[TD]
1. Congo (Democratic Republic of the)​
[/TD]
[TD]
22. Rwanda
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
2. Niger​
[/TD]
[TD]
23. Djibouti
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
3. Burundi​
[/TD]
[TD]
24. Zambia
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
4. Mozambique​
[/TD]
[TD]
25. Comoros​
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
5. Chad​
[/TD]
[TD]
26. Togo​
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
6. Liberia​
[/TD]
[TD]
27. Uganda​
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
7. Burkina Faso​
[/TD]
[TD]
28. Lesotho​
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
8. Sierra Leone​
[/TD]
[TD]
29. Mauritania​
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
9. Central African Republic​
[/TD]
[TD]
30. Haiti​
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
10. Guinea​
[/TD]
[TD]
31. Nepal​
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
11. Eritrea​
[/TD]
[TD]
32. Nigeria​
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
12. Guinea-Bissau​
[/TD]
[TD]
33. Senegal​
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
13. Mali​
[/TD]
[TD]
34. Yemen​
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
14. Ethiopia​
[/TD]
[TD]
35. Papua New Guinea​
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
15. Zimbabwe​
[/TD]
[TD]
36. Tanzania, United Republic of
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
16. Afghanistan​
[/TD]
[TD]
37. Madagascar​
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
17. Malawi​
[/TD]
[TD]
38. Cameroon​
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
18. Côte d'lvoire
[/TD]
[TD]
39. Myanmar​
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
19. Sudan​
[/TD]
[TD]
40. Angola​
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
20. Gambia​
[/TD]
[TD]
41. Timor-Leste​
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
21. Benin​
[/TD]
[TD]
42. Bangladesh​
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[h=3]Trends among the world's poorest countries[/h]

Read more: World's Poorest Countries | Infoplease.com World's Poorest Countries | Infoplease.com
Nimefutahi kwa waliotuwekea Link hizi kwani wanapozungumzia Maendeleo ya Binadamu na kuipita Rwanda nafarijika Report and reflect the countries with the lowest human development.
 
miccm inataka iwadanganye watz kuwa uchumi upanda wakati sisi wenyewe tunakula mlo mmoja kwa siku... Acheni kutuadaa bana.. Uchumi wenyewe ni wa omba omba
 
hizi siasa ni balaa.wewe ukitaka kujua kuwa nchi hii ni maskini angalia maisha ya watu wavijijini,pili angalia wanao jua kusoma na kuandika tatu angalia pato la taifa na la mtu mmojammoja
 
Sioni Cha kujisifia hapo jaribu kutazama vitu vinavyosababisha uchumi kukua, halafu linganisha nchi yetu na hizo maskini zaidi bila kusahau Utulivu na Amani.
Tizama vizuri katika hii lin
k http://www.gfmag.com/component/content/article/119-economic-data/12537-the-poorest-countries-in-the-world.html#axzz2XyCdVPzC

Nimechukua ukuaji wa GDP kati ya Tanzania na Rwanda!
Hebu cheki tunavyoporomoka kulinganisha na Rwanda kuanzia mwaka 2009....
Kwa miaka 2-3 ijayo Rwanda itakuwa juu yetu!
Kwa hiyo huyu mleta mada hakuisoma ripoti kwa upana wake.

[TABLE="class: MsoNormalTable, width: 93"]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]S/N
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Country
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]2009
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]2010
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]2011
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]2012
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]2013
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]25
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Rwanda
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]$1,201.01
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]$1,278.08
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]$1,384.04
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]$1,485.91
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]$1,591.71
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]26
[/TD]
[TD]Tanzania
[/TD]
[TD]$1,322.92
[/TD]
[TD]$1,392.88
[/TD]
[TD]$1,469.19
[/TD]
[TD]$1,566.71
[/TD]
[TD]$1,670.21
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"][/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Difference
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]$120.9
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]$114.8
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]$85.1
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]$80.8
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]$58.5
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Watu wameng'ngania takwimu za miaka 20 iliyopita .. Tanzania nchi ya tatu kwa umasikini Duniani mara Tanzania nchi ya kwanza kwa umasikini Duniani. Angalia Orodha ya Nchi masikini kutoka katika macho ya watu wanaoijua Dunia. Tanzania haimo kwanye orodha ya nchi 25 masikini zaidi Duniani.. Hii maana yake imependa sana katika miaka ya hivi karibuni kutoka nafasi ya 3 hadi nafasi ya 26! Aidha kwa kasi tuliyonayo tunaendelea kuzivuta nyuma nchi mbali mbali na kwenda juu zaidi. Aidha Tanzania inatajwa kuwa moja kati ya nchi 10 duniani ambazo uchumi wake unakuwa kwa kasi. Nchi Tajiri zaidi Duniani ni Qatar!
1001011_545338152168858_129569371_n.jpg

https://fbcdn-sphotos-e-a.akamaihd....0x720/1001011_545338152168858_129569371_n.jpg

Reta richanzo ra habari hiro urirorireta.
 
wamekosea list as tz ni lazima itakuwa kwenye kumi bora
 
Hongereni Watanzania wenzangu kama hii ni kweli....hata hivyo twatakiwa tuongeze bidii kutengeneza ajira kwa wale Mungu ameonesha njia....vijana wengi wanahitaji ajira
 
Watu wameng'ngania takwimu za miaka 20 iliyopita .. Tanzania nchi ya tatu kwa umasikini Duniani mara Tanzania nchi ya kwanza kwa umasikini Duniani. Angalia Orodha ya Nchi masikini kutoka katika macho ya watu wanaoijua Dunia. Tanzania haimo kwanye orodha ya nchi 25 masikini zaidi Duniani.. Hii maana yake imependa sana katika miaka ya hivi karibuni kutoka nafasi ya 3 hadi nafasi ya 26! Aidha kwa kasi tuliyonayo tunaendelea kuzivuta nyuma nchi mbali mbali na kwenda juu zaidi. Aidha Tanzania inatajwa kuwa moja kati ya nchi 10 duniani ambazo uchumi wake unakuwa kwa kasi. Nchi Tajiri zaidi Duniani ni Qatar!
1001011_545338152168858_129569371_n.jpg

https://fbcdn-sphotos-e-a.akamaihd....0x720/1001011_545338152168858_129569371_n.jpg

Najua wewe ni binadamu uliyekamilika kiakili, Kimwili ikiwezekana na kiuchumi pia ebu fikiria kama ni BABA YAKO, MAMA YAKO, MKEO, au WATOTO WAKO ndo mmojawapo amemwagiwa tindikali na kuaribika sura je utaweka picha yake kama Avatar hapa JF? kama wewe uliyoposti uzi huu utakuwa ni Mwigulu sitakuwa na shaka kwani umezoea kumtembeza kijana Tesha kama bango. Kwa heshima na kulinda utu wa mwanadamu kama wewe si Mwigulu ondoa picha hiyo ya huyo kijana aliyemwagiwa Tindikali sio uungwana.
 
Back
Top Bottom