Takwimu: Zijue nchi masikini Duniani

Takwimu: Zijue nchi masikini Duniani

1 Congo - Kinshasa $311.89 $328.87 $348.53 $368.91 $394.25 1983

25 Rwanda $1,201.01 $1,278.08 $1,384.04 $1,485.91 $1,591.71 2010

26 Tanzania $1,322.92 $1,392.88 $1,469.19 $1,566.71 $1,670.21 2006

27 Benin $1,559.98 $1,575.72 $1,620.35 $1,666.74 $1,717.82 2011

Read more: The Poorest Countries in the World | Global Finance
Under Creative Commons License: Attribution Share Alike

Mkuu hiyo sourceTanzania haijatengwa katika umaskini,kwa kifupi kwenye kundi la umaskini tumo tena sana!Wewe umetumia 25, kwa vigezo vipi??
 
Watu wameng'ngania takwimu za miaka 20 iliyopita .. Tanzania nchi ya tatu kwa umasikini Duniani mara Tanzania nchi ya kwanza kwa umasikini Duniani. Angalia Orodha ya Nchi masikini kutoka katika macho ya watu wanaoijua Dunia. Tanzania haimo kwanye orodha ya nchi 25 masikini zaidi Duniani.. Hii maana yake imependa sana katika miaka ya hivi karibuni kutoka nafasi ya 3 hadi nafasi ya 26! Aidha kwa kasi tuliyonayo tunaendelea kuzivuta nyuma nchi mbali mbali na kwenda juu zaidi. Aidha Tanzania inatajwa kuwa moja kati ya nchi 10 duniani ambazo uchumi wake unakuwa kwa kasi. Nchi Tajiri zaidi Duniani ni Qatar!

https://fbcdn-sphotos-e-a.akamaihd....0x720/1001011_545338152168858_129569371_n.jpg
This is good news mkuu. Nasisi tumo tunajikongoka, kila awamu tunasonga mbele, bila kujali ushabiki wa kisiasa tunajukumu la kusukuma maendeleo ya nchi yetu mbele. Chama sio kizingiti bali mfumo wa kuongoza nchi ndio muhimu. Kwa kipindi hiki bunge limesheheni wabunge wa upinzani tunahitaji challenges endelevu, pia wabunge wao mfano na engine za maendeleo majimboni mwao sio kutoa povu saana bila kufanya kinachoeleweka na kuendelezwa..
 
Mkuu hiyo sourceTanzania haijatengwa katika umaskini,kwa kifupi kwenye kundi la umaskini tumo tena sana!Wewe umetumia 25, kwa vigezo vipi??
Tumeshauriwa tutumie vichwa kufikiri pia badala ya kufugia tu mywele mkuu
[h=1]Poorest Countries in the World[/h]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD="colspan: 2"]view as: list / map[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]▲[/TD]
[TD]Country[/TD]
[TD="align: center"]GDP per capita[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1.[/TD]
[TD][/TD]
[TD="align: center"]%24400[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]2.[/TD]
[TD][/TD]
[TD="align: center"]%24500[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]3.[/TD]
[TD][/TD]
[TD="align: center"]%24600[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]4.[/TD]
[TD][/TD]
[TD="align: center"]%24600[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]5.[/TD]
[TD][/TD]
[TD="align: center"]%24700[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]6.[/TD]
[TD][/TD]
[TD="align: center"]%24800[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]7.[/TD]
[TD][/TD]
[TD="align: center"]%24800[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]8.[/TD]
[TD][/TD]
[TD="align: center"]%24900[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]9.[/TD]
[TD][/TD]
[TD="align: center"]%24900[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]10.[/TD]
[TD][/TD]
[TD="align: center"]%241,000[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]11.[/TD]
[TD][/TD]
[TD="align: center"]%241,000[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]12.[/TD]
[TD][/TD]
[TD="align: center"]%241,100[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]13.[/TD]
[TD][/TD]
[TD="align: center"]%241,100[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]14.[/TD]
[TD][/TD]
[TD="align: center"]%241,100[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]15.[/TD]
[TD][/TD]
[TD="align: center"]%241,100[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]16.[/TD]
[TD][/TD]
[TD="align: center"]%241,200[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]17.[/TD]
[TD][/TD]
[TD="align: center"]%241,200[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]18.[/TD]
[TD][/TD]
[TD="align: center"]%241,300[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]19.[/TD]
[TD][/TD]
[TD="align: center"]%241,300[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]20.[/TD]
[TD][/TD]
[TD="align: center"]%241,300[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]21.[/TD]
[TD][/TD]
[TD="align: center"]%241,400[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]22.[/TD]
[TD][/TD]
[TD="align: center"]%241,400[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]23.[/TD]
[TD][/TD]
[TD="align: center"]%241,400[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]24.[/TD]
[TD][/TD]
[TD="align: center"]%241,400[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]25.[/TD]
[TD][/TD]
[TD="align: center"]%241,400[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]26.[/TD]
[TD][/TD]
[TD="align: center"]%241,700[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]27.[/TD]
[TD][/TD]
[TD="align: center"]%241,700[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]28.[/TD]
[TD][/TD]
[TD="align: center"]%241,700[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]29.[/TD]
[TD][/TD]
[TD="align: center"]%241,700[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]30.[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Watu wameng'ngania takwimu za miaka 20 iliyopita .. Tanzania nchi ya tatu kwa umasikini Duniani mara Tanzania nchi ya kwanza kwa umasikini Duniani. Angalia Orodha ya Nchi masikini kutoka katika macho ya watu wanaoijua Dunia. Tanzania haimo kwanye orodha ya nchi 25 masikini zaidi Duniani.. Hii maana yake imependa sana katika miaka ya hivi karibuni kutoka nafasi ya 3 hadi nafasi ya 26! Aidha kwa kasi tuliyonayo tunaendelea kuzivuta nyuma nchi mbali mbali na kwenda juu zaidi. Aidha Tanzania inatajwa kuwa moja kati ya nchi 10 duniani ambazo uchumi wake unakuwa kwa kasi. Nchi Tajiri zaidi Duniani ni Qatar!

https://fbcdn-sphotos-e-a.akamaihd....0x720/1001011_545338152168858_129569371_n.jpg

Una kichaa kweli! Hapo penyewe umemwaga povu hata mlo wa jioni hujapata
 
Watu wameng'ngania takwimu za miaka 20 iliyopita .. Tanzania nchi ya tatu kwa umasikini Duniani mara Tanzania nchi ya kwanza kwa umasikini Duniani. Angalia Orodha ya Nchi masikini kutoka katika macho ya watu wanaoijua Dunia. Tanzania haimo kwanye orodha ya nchi 25 masikini zaidi Duniani.. Hii maana yake imependa sana katika miaka ya hivi karibuni kutoka nafasi ya 3 hadi nafasi ya 26! Aidha kwa kasi tuliyonayo tunaendelea kuzivuta nyuma nchi mbali mbali na kwenda juu zaidi. Aidha Tanzania inatajwa kuwa moja kati ya nchi 10 duniani ambazo uchumi wake unakuwa kwa kasi. Nchi Tajiri zaidi Duniani ni Qatar!

https://fbcdn-sphotos-e-a.akamaihd....0x720/1001011_545338152168858_129569371_n.jpg
Kesho ukiambiwa na hao unaowaabudu kwamba wanaijua Dunia kwamba Tanzania ni nchi ya kwanza Duniani kwa uchumi imara Utakenua meno. Achana na data za wazungu, angalia haliya uchumi wako na wanaokuzunguka ukoje. Acha vya kuambiwa tumia akili na macho.
 
eti congo ni masikini ,hiyo ni mbinu ya wazungu kuja kuchota utajiri wao.congo inaongoza kwa rasilimali untouched duniani
 
Nyerere alitutoa kutoka nchi ya kwanza Afrika kusafirisha mazao ya kilimo tulipopata Uhuru mpaka kuwa omba-omba kwa miaka saba tu ya mwanzo aliyotawala, iliyobaki ndio akatupeleka kwenye uhohe-hahe wa mwisho duniani, maskini kuliko wote.

Kikwete katutowa huko na anazidi kutupaisha, miradi yake aliyoanzisha ndio misingi ya kutupeleka tunapopataka.
 
Watu wameng'ngania takwimu za miaka 20 iliyopita .. Tanzania nchi ya tatu kwa umasikini Duniani mara Tanzania nchi ya kwanza kwa umasikini Duniani. Angalia Orodha ya Nchi masikini kutoka katika macho ya watu wanaoijua Dunia. Tanzania haimo kwanye orodha ya nchi 25 masikini zaidi Duniani.. Hii maana yake imependa sana katika miaka ya hivi karibuni kutoka nafasi ya 3 hadi nafasi ya 26! Aidha kwa kasi tuliyonayo tunaendelea kuzivuta nyuma nchi mbali mbali na kwenda juu zaidi. Aidha Tanzania inatajwa kuwa moja kati ya nchi 10 duniani ambazo uchumi wake unakuwa kwa kasi. Nchi Tajiri zaidi Duniani ni Qatar!

https://fbcdn-sphotos-e-a.akamaihd....0x720/1001011_545338152168858_129569371_n.jpg

Significance? Ongelea trend za kipato cha mtanzania wa kawaida na bei za bidhaa miaka kumi iliyopita ukilinganisha na sasa uone Kama uchumi unakua.
 
Back
Top Bottom