RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 57,880
- 129,907
Nimefurahi sana tume sevu hatupo kwenye best 10
best 10??? nafikiri ni worst 10
Nimefurahi sana tume sevu hatupo kwenye best 10
Nyie wa tz si mnashinda kwenye misikiti na jumia za kikristo huku mkiaminishana kwenda kuishi vizuri mbinguni huku wezi wakichukua rasilkmali zetu lkiwemo tanzanight nk.Nashauri dini zingilie kati kuhusu umasikini wetu
kweli? Tz tupo wapi? Mbona zote ni africa?
Haiwezekani Tanzania kuwa masikini kuna wasomi wengi sana...
Ndio maana tunaambiwa watanzania tumelala. Kila siku sisi tunasoma figure ya mwisho badala ya kuangalia mtiririko mzima. Ni aibu kwa nchi kama tanzania kuzidiwa ukuaji kiuchumi na Rwanda. Rwanda ni ndogo sana, inazidiwa ukubwa na mikoa ya tanzania zaidi ya 15, Pia rasilimali tulizonazo ni nyingi kulinganishwa na Rwanda. Acha tuendelee kulala ila baridi litakapozidi kukikaribia asubuhi Naamini tutatafuta shuka likopo.
ni ya uongo.imepikwa na wazungu tu
Tz tulitakiwa tuwe tunapambana na akina South Africa,Nigeria nk bas tu!
wasomi tz hawathaminiwi, i.e they are not subjected to creation of ideas which in turn will be tested as a result of research. In tz, it sounds like we don't value R&D. Upon realisation of tz not working with R&D, professionals are doing research as part of supplementing income, any other outcome, as none of their business; but for politicians who aim to fulfil objectives for the minority.
Watu kama wewe pia wachangia sana tuwe hapa tulipo sababu...1.Uandishi wako jaribu kurekebisha usiandike kama vile unajiandikia mwenyewe,jaribu kuangalia utaona! 2. Sijaona sababu ya wewe kutumia lugha ya kigeni ilhali mada imeanzishwa kwa kiswahili. 3. Kiingereza chako ni kibovu( very bookish) ni wewe tu na wenzako kama wewe ndik watakuelewa. Asante.
ni ya uongo.imepikwa na wazungu tu
Kuanzia mwakani tutakua donor country nasisi!!!naskia magu ameshatutoa kutoka nchi maskin...tupo uchumi wa kati wakuu..