Takwimu: Zijue nchi masikini Duniani

Takwimu: Zijue nchi masikini Duniani

Mimi nadhani suala siyo utajiri wa rasilimali tulizonazo tanzania ndiyo chanzo cha kutokuwa maskini au tajiri, suala la msingi ni kuwa mimi na wewe tunaelewa nini kuhusu rasilimali tulizonanzo, how do we use them at each individual level, zipo ndiyo so what? tutakapoelewa nini cha kufanya or how to use them to our advantage then tunaweza kuona manufaa ya rasilimali tulizonazo. Tukubali tusikubali wachache wanaoelewa ninachokisema wanafaidi sana maisha yao Tanzania na wanatushangaa mimi na wewe ambao tunaendelea kujiuliza kwanini tz ni maskini pamoja na kuwa na rasilimali nyingi. Tubadilike na tujifunze namna ya kuzitumia rasilimali tulizonazo. Siyo serikali itakayokueleza namna ya kuzitumia bali ni weledi wako (bila kujali kiwango).

Sijakuelewa unamaanisha nini na Rasilimali tunazozungumzia ni zipi, Hapa tunazungumzia Madini, Gesi, Utalii,wanyama poli, Maziwa makuu N.K sasa jiulize katika hivyo nilivyovitaja vinamnufaisha vipi Mtanzania, kuhusu madini wachimbaji wadogowadogo kila kukicha wananyang'anywa maeneo yao na kupewa wawekezaji ambao sio wazawa na mwisho wa siku wanailipa serikali 3% , wanyama poli wanauzwa nje na fedha zinaishia mikononi mwa wachache unaosema wanajua umuhimu wa Rasilimali zetu,na hao wachache ndo waliopeleka na kuhifadhi fedha mabenki ya nje ikiwemo Uswis.

Sasa hapo unataka mimi na wewe tujikwamue vipi? serikali ndiyo hiyo imeshindwa kusimamia hizo rasilimali na zote zinaishia nje.
 
:laser::target:.......... Alah kumbe.... Tanzania ni nchi yenye madini ambayo hayapatikani duniani kote.... Tanzanite, almasi, dhahabu, makaa ya mawe, gasi, mafuta, mbuga za wanyama, mito, mlima mrefu kuliko yote barani africa kilimanjaro vingine ongezea wewe.......................:majani7: :fencing: :A S 100: :cheer2:
Usisahau madini ya nyukiria ya Ureniaum pia tunayo.


Sent by chescomatunda using JamiiForums
 
Leo katika Gazeti la Majira nimekutana na Repoti hii.
UMOJA wa Mataifa (UN), umeziweka nchi 48 katika kundi la nchi maskini duniani (LDCs), zikiwemo nchi 33 za Afrika, Asia (9), Pacific (5) na Caribbean (1).

Ripoti ya nchi maskini sana duniani ya mwaka 2012 iliyotolewa na Shirika la Biashara na Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNCTAD) kutoka Geneva, nchini Uswisi, ilisema idadi ya watu waliohamia Ulaya kutoka nchi maskini sana (LDCs) iliongezeka.

Ongezeko hilo ni kutoka watu milioni 19 mwaka 2000 hadi milioni 27 mwaka 2010, sawa na asilimia 3.3 ya wakazi wote wa nchi hizo.

Kwa mujibu wa ripoti ya nchi maskini sana duniani ya mwaka 2012, iliyotolewa na UNCTAD, ilisema nchi maskini sana duniani zinatoa asilimia moja ya wahamiaji duniani kote.

Imesema wahamiaji wanne kati ya watano kutoka LDCs, wanaishi katika nchi zinazoendelea (Kusini) na mmoja kati wa watano ndiye anaishi kwenye nchi zilizoendelea (Kaskazini).

“Kiwango cha fedha zinazotumwa na raia waliohamia ng’ambo kwenda katika nchi zao, kiliongezeka mara nane kati ya mwaka 1990 na 2011, kutoka dola bilioni 3.5 hadi bilioni 27.

“Mwaka 2011, kiasi cha fedha zilizotumwa kwenda nchini Tanzania kutoka Uingereza zilikuwa dola milioni 4.5, kutoka Canada milioni 3.2 na kutoka Kenya milioni 2.5,” ilisema taarifa hiyo.

Fedha zilizotumwa kwenda LDCs, zilikuwa mara mbili ya thamani ya uwekezaji wa moja kwa moja (FDI).

Nchi maskini zilizotajwa ni Angola, Benin, Burkina Faso, Burundi, Central African Republic, Chad, Comoros, Congo (DRC), Djibouti, Equatorial Guinea, Eritrea, Ethiopia, Gambia, Guinea, Guinea-Bissau, Lesotho, Liberia, Madagascar na Malawi.

Nyingine ni Mali, Mauritania, Msumbiji, Niger, Rwanda, Sao Tome na Principe, Senegal, Sierra Leone, Somalia, Sudan, Togo, Uganda, Tanzania, Zambia, Afghanistan, Bangladesh, Bhutan, Cambodia, Lao, Myanmar, Nepal, Timor-Leste, Yemen, Caribbean, Haiti,
Kiribati, Samoa, Solomon Islands, Tuvalu na Vanuatu

My Take!
Hivi nchi hii tujiringanishe na Kenya tu ambao hawapo miongoni mwa nchi masikini walichotushinda ni nini kwa upande wa Rasilimali, Hapa naona viongozi waliopo madarakani wanacho cha kujibu kwa nini Tanzania kwa wingi wa Rasilimali tulizonazo bado ni Masikini, Hii ni aibu kubwa sana jamani.
mkuu hebu funguka na tumia akili kidogo tu. tatizo la Mtz ni elimu, nyerere hakuinvest kwenye elimu na kwa bahati mbaya kabisa kuna baadhi ya jamii alifanya kila linalowezekana wasiipate hiyo kitu elimu. sasa utashindana vipi na wakenya? hata hizi kelele unazozisikia sasa hivi ni juhudi za JK kuwekeza kwenye elimu ndo maana sasa hivi tongotongo zimeanza kututoka. funguka mkuu, acha kulala sababu iko wazi. NI ELIMU.
 
Hawa wazungu wanajishaua tu tena wanatuonea wivu sana,waweke vigezo vinavyoeleweka tena vyetu vya asili si kuona mmasai kavaa lubega ukamwita maskini wakati ni mfumo wake wa maisha,wala haiingii akilini eti nchi kama Angola Equatorial Guinea, eti ni Masikini wakati wana mafuta kedekede kama ni hivyo wanawaibia,nakataa sisi siyo masikini vigezo walivyotumia sisi hatuvikubali kwani ukimwona mswahili kaezeka nyumba yake kwa makuti ukasema ni masikini ni uongo hiyo ni mbinu tu ya kupunguza joto ndani, karibu kila familia inajilimia chakula chake yenyewe hawategemei kwenda supermarket kununua unga au kuku sasa utatumia vigezo vipi vya kimataifa kumpima mtu kama huyu,Hao wahamiaji waliotuma pesa TZ wengi ni waTZ wahindi waliokwenda kufanya biashara huko wala siyo wahamiaji,kwani mababu zao walipohamia TZ kutoka India si walikuja kutafuta maisha wala si kwamba wamekimbia umasikini huko kwao au TZ ni mfumo tu wa maisha mbona wazungu wengi sana wanakuja Afrika na wanafanya biashara tena za wizi si kuna mmoja tumemtoa bomba kule Bulyankulu alikuwa anatuibia dhahabu yetu! na hao je,hayo mapesa yetu huko Uswisi vipi hayatoshi tu kuonyesha kuwa sisi si masikini?wachilia mbali ziwe za wizi wengine wanaviita vijisenti?.wasitudhalilishe hawa waachane na sisi.
 
Serikali ya wezi,serikali ya wakosa vipaumbele,serikali ya waliokosa fikra na ubunifu,serikali ya viwavi,mafisadi hawana dira vipi watatutoa kwenye dimbwi la umasikini lazima uwe mjanjan mnjanja kuweza kuishi nchi hii
 
Ili tuendelee tunahitaji vitu VINNE
  1. Siasa safi
  2. Uongozi bora
  3. Watu
  4. Ardhi

The BIG QUESTION is What is the MISSING LINK? Be the Juror yourself
 
Waliotoa hiyo list ni waongo hapa wanachofanya ni kutuhadaa sisi ili tuzubae na tusijue kama hizi rasilimali zote hizi tulizonazo ndio utajili wenyewe ili pia tusifungukenazo na wao waendelee kuzichota na sisi tuzidi kujiona masikini .hapa pia wanataka tuzidi kuomba misaada kwao ili watuwekee mashart ya hovyo. Jamani tuamke sisi sio masikini ni kati ya nchi tatu tajiri duniani sio afrika duniani wanatuonea wivu. Point hapa ni kuachana nao na tuchape kazi,tutumie kila kitu tulichonacho kujitajirisha na tuwabane kwenye katiba mpya jinsi ya utajili huu utakavyoshuka kwetu.hapo mtaona wzungu kimya.
 
mkuu hebu funguka na tumia akili kidogo tu. tatizo la Mtz ni elimu, nyerere hakuinvest kwenye elimu na kwa bahati mbaya kabisa kuna baadhi ya jamii alifanya kila linalowezekana wasiipate hiyo kitu elimu. sasa utashindana vipi na wakenya? hata hizi kelele unazozisikia sasa hivi ni juhudi za JK kuwekeza kwenye elimu ndo maana sasa hivi tongotongo zimeanza kututoka. funguka mkuu, acha kulala sababu iko wazi. NI ELIMU.

Huko Uarabuni wamesoma sana? wenzetu wanatumia vizuri Rasilimali yao ya Mafuta na wameondokana na Umasikini. Halafu hutakiwi kunisakama sana mi sio niliofanya huo utafiti mi nimewasilisha mada kutoka source nyingine.
 
Nimeiona orodha ya nchi 20 masikini zaidi dunia na jambo la kufurahisha ni kuwa tanzania haipo kwenye orodha hiyo.nchi ya msumbiji ipo kwenye orodha ya nchi masikini lakini kuna jambo limenishangaza kidogo.thamani ya pesa ya msumbiji iko juu zaidi na ya kwetu kwa maana kwasasahivi 1000tsh = 18.97 meticais.sasa wale ndugu zangu wataalamu wa uchumi naomba mnisaidie kuhusu hili.kwa upeo wangu mdogo thamani ya pesa ya nchi fulani yaweza kutumika kama kigezo cha kubaini hali na kiwango cha uchumi wa nchi fulani?najua zipo sababu zingine kadhaa lakini hili limenishangaza kwa kiasi fulani.
 
Ni kweli haipo kwenye orodha za nchi masikini maana vigezo vinavyotumika kupima umaskini yawezekana hatuna ila nchi inaweza isiwe miongoni mwa nchi maskini lakini viongozi wakawa wezi na mafisadi hivyo kusababisha taifa la hao watu kuwa masikini,
 
Kwa nini haipo wakati yunajua tuanishi chini ya dola moja? Wanataka kutupamba au
 
Nimeiona orodha ya nchi 20 masikini zaidi dunia na jambo la kufurahisha ni kuwa tanzania haipo kwenye orodha hiyo.nchi ya msumbiji ipo kwenye orodha ya nchi masikini lakini kuna jambo limenishangaza kidogo.thamani ya pesa ya msumbiji iko juu zaidi na ya kwetu kwa maana kwasasahivi 1000tsh = 18.97 meticais.sasa wale ndugu zangu wataalamu wa uchumi naomba mnisaidie kuhusu hili.kwa upeo wangu mdogo thamani ya pesa ya nchi fulani yaweza kutumika kama kigezo cha kubaini hali na kiwango cha uchumi wa nchi fulani?najua zipo sababu zingine kadhaa lakini hili limenishangaza kwa kiasi fulani.

umeona wapi? usingizini? toa source
 
What are the poorest countries in the world? The rankings below were published in Wikipedia from International Monetary Fund's 2011 gross domestic product per capita (GDP per capita) report and reflecting the countries with the lowest purchasing power parity (PPP). Since 1970, there has been encouraging news emerging from developing countries. According to the UN's 2010 Human Development Report, life expectancy in developing countries has increased from 59 years in 1970 to 70 years in 2010. School enrollment climbed from 55% to 70% of all primary and secondary school-age children. Also, in the last forty years, per capita GDP doubled to more than ten thousand U.S. dollars. Poor countries are catching up with the wealthier countries, but not all countries are making fast progress. For example, some countries in Sub-Sahara Africa have little or no progress, largely due to the HIV epidemic and civil wars.
The 20 Poorest Countries:
[h=2]#1. Congo, Democratic Republic of the[/h] GDP Per Capita: $348 (As of 2011)
Not to be mixed with the neighboring Republic of Congo, the Democratic Republic of the Congo has become the poorest country in the world as of 2010. Democratic Republic of the Congo was known as Zaire until 1997. Congo is the largest country in the world that has French as an official language – the population of D.R Congo is about six million larger than the population of France (71 million people in D.R Congo vs 65 million in France). The Second Congo War beginning in 1998 has devastated the country. The war that involves at least 7 foreign armies is the deadliest conflict in the world since World War II – by 2008 the Second Congo War and its aftermath had killed 5.4 million people.
[h=2]#2. Liberia[/h] GDP Per Capita: $456 (As of 2011)
Liberia is one of the few countries in Africa that have not been colonized by Europe. Instead, Liberia was founded and colonized by freed slaves from America. These slaves made up the elite of the country and they established a government that closely resembled that of the United States of America. In 1980 the president of Liberia was overthrown and a period of instability and civil war followed. After the killings of hundreds of thousands, a 2003 peace deal was led to democratic elections in 2005. Today, Liberia is recovering from the lingering effects of the civil war and related economic dislocation, with about 85% of the population lives below $1 a day.
[h=2]#3. Zimbabwe[/h] GDP Per Capita: $487 (As of 2011)
The government of Zimbabwe released its largest bank note 100 trillion dollar bill issued on January 2009. In addition to the economic problems the life expectancy of Zimbabwe is the lowest in the world – 37 years for men and just 34 for women. One of the problems for the early deaths are the 20.1% of the population with HIV and AIDS. The health issues aren't seeing any improvement.
[h=2]#4. Burundi[/h] GDP Per Capita: $615 (As of 2011)
Burundi is known for its tribal and civil wars. Burundi have never really had any peaceful time between the everlasting civil wars as a result its the fourth poorest country. Owing in part to its landlocked geography, poor legal system, lack of economic freedom, lack of access to education, and the proliferation of HIV and AIDS. Approximately 80% of Burundians live in poverty and according to the World Food Programme 57% of children under 5 years suffer from chronic malnutrition; 93% of Burundi's exports revenues come from selling coffee.
[h=2]#5. Eritrea[/h] GDP Per Capita: $735 (As of 2011)
Affected by the Italian colonizers of the 19th century. Eritrea's advantage of controlling the sea route through the Suez Canal made the italians to colonized it just a year after the opening of the canal in 1869 and same reason the British conquered it in 1941. The present Eritrea's economic conditions have not improved and real gross domestic product growth averaged 1.2 percent between 2005 and 2008; in 2009 GDP growth was estimated at 2.0 percent.
[h=2]#6. Central African Republic[/h] GDP Per Capita: $768 (As of 2011)
Despite its significant mineral resources; uranium reserves in Bakouma, crude oil, gold, diamonds, lumber, hydropower and its arable land, it remains one of the poorest countries in the world. Diamonds constitute the most important export of the Central Africans Republic, accounting for 40–55% of export revenues. The 2010 UNDP Human Development Report ranks CAR near the bottom of its Human Development Index (159th out of 162 countries) and unlikely to meet its MDG goals. The proportion of Central Africans living on $1 a day has decreased slightly to 62% but it needs to be half of that in order to reach the 2015 goal.
[h=2]#7. Niger[/h] GDP Per Capita: $771 (As of 2011)
With over 80% of its land is covered by the giant desert of Sahara, Niger has a Gross Domestic Product (GDP) per capita in Parity Purchasing Power (PPP) terms of US$771 as of 2011, one of the lowest in Africa. Niger's poverty is exacerbated by political instability, extreme vulnerability to exogenous shocks and inequality which affects girls, women and children disproportionately. In January 2000, Niger's newly elected government inherited serious financial and economic problems including a virtually empty treasury and was qualified for enhanced debt relief under the International Monetary Fund program for Highly Indebted Poor Countries.
[h=2]#8. Sierra Leone[/h] GDP Per Capita: $849 (As of 2011)
A West African country with English as its official language, Sierra Leone has relied on mining, especially diamonds, for its economic base and home to the third largest natural harbour in the world where shipping from all over the globe berth at Freetown's famous Queen Elizabeth II Quay. It is among the top diamond producing nations in the world, and mineral exports remain the main foreign currency earner and also among the largest producers of titanium and bauxite, and a major producer of gold. Despite this natural wealth, 70% of its people live in poverty. If you have seen the movie Blood Diamond you should know that it is based on Sierra Leone.
[h=2]#9. Malawi[/h] GDP Per Capita: $860 (As of 2011)
Malawi has one of the lowest per capita incomes in the world, with 53% (2004) living under the poverty line. In December 2000, the IMF stopped aid disbursements due to corruption concerns, and many individual donors followed suit, resulting in an almost 80% drop in Malawi's development budget. In 2006, Malawi was approved for relief under the Heavily Indebted Poor Countries (HIPC) program. In December 2007, the US granted Malawi eligibility status to receive financial support within the Millennium Challenge Corporation (MCC) initiative. Agriculture accounts for 35% of GDP, industry for 19% and services for the remaining 46%. In addition, some setbacks have been experienced, and Malawi has lost some of its ability to pay for imports due to a general shortage of foreign exchange, as investment fell 23% in 2009.
[h=2]#10. Togo[/h] GDP Per Capita: $899 (As of 2011)
This small, sub-Saharan economy suffers from anemic economic growth and depends heavily on both commercial and subsistence agriculture, which provides employment for a significant share of the labor force. Cocoa, coffee, and cotton generate about 40% of export earnings with cotton being the most important cash crop. Togo is among the world's largest producers of phosphate. Approximately one half of the population lives below the international poverty line of US$1.25 a day.
[h=2]#11. Madagascar[/h] GDP Per Capita: $934 (As of 2011)
Madagascar's mainstay of growth are tourism, agriculture and the extractive industries. Approximately 69% of the population lives below the national poverty line threshold of one dollar per day. The agriculture sector constituted 29% of Malagasy GDP in 2011, while manufacturing formed 15% of GDP. Tourism dropped more than 50% in 2009 compared with the previous year, and many investors are wary of entering the uncertain investment environment.
[h=2]#12. Afghanistan[/h] GDP Per Capita: $956 (As of 2011)
Afghanistan is probably the only poorest country in the world that doesn't need any introduction. Due to the decades of war and nearly complete lack of foreign investment, the nation'sGDP per capita stands at $956. Its unemployment rate is 35% and 42 % of the population live on less than $1 a day. As tribal warfare and internecine feuding has been one of their chief occupations since time immemorial. History has never seen Afghanistan lose a war. They might be one of the poorest but they know how to fight. Instead of a traditional army they simply resist with small counter attacks that eventually tire out the enemy.
[h=2]#13. Guinea[/h] GDP Per Capita: $1,083 (As of 2011)
Guinea also has diamonds, gold, and other metals. The country has great potential for hydroelectric power. Bauxite and alumina are currently the only major exports. Guinea's poorly developed infrastructure and rampant corruption continue to present obstacles to large-scale investment projects. Agriculture employs 80% of the nation's labor force. Under French rule, and at the beginning of independence, Guinea was a major exporter of bananas, pineapples, coffee, peanuts, and palm oil. From independence until the presidential election of 2010, Guinea was governed by a number of autocratic rulers, which has contributed to making Guinea one of the poorest countries in the world.
[h=2]#14. Mozambique[/h] GDP Per Capita: $1,085 (As of 2011)
One of the poorest and most underdeveloped country in the world, 75% of the population engages in small-scale agriculture, which still suffers from inadequate infrastructure, commercial networks, and investment. The minimum legal salary is around US$60 per month.
[h=2]#15. Ethiopia[/h] GDP Per Capita: $ 1,093 (As of 2011)
Ethiopia suffers from poverty, and poor sanitation. In the capital city of Addis Ababa, 55% of the population lives in slums. Despite its fast growth in recent years, GDP per capita is one of the lowest in the world, and the economy faces a number of serious structural problems. Ethiopia's economy is based on agriculture, which accounts for 41% of GDP and 85% of total employment. Agricultural productivity remains low, the sector suffers from poor cultivation practices and frequent drought.
[h=2]#16. Mali[/h] GDP Per Capita: $1,128 (As of 2011)
With 50% of the population living below the international poverty line of US$1.25 a day, Mali is one of the poorest countries in the world. Some of its natural resources are gold, uranium, livestock, and salt. Mali remains dependent on foreign aid. Economic activity is largely confined to the riverine area irrigated by the Niger River and about 65% of its land area is desert or semidesert. Mali experienced economic growth of about 5% per year between 1996-2010. The government in 2011 completed an IMF extended credit facility program that has helped the economy grow, diversify, and attract foreign investment.
[h=2]#17. Guinea-Bissau[/h] GDP Per Capita: $1,144 (As of 2011)
Guinea-Bissau's legal economy depends mainly on farming and fishing, but trafficking in narcotics is probably the most lucrative trade. With 60% of the population living below the poverty line, drug traffickers based in Latin America use Guinea-Bissau, along with several neighboring West African nations, as a transshipment point to Europe for cocaine. The government and the military did almost nothing to stop this business.
[h=2]#18. Comoros[/h] GDP Per Capita: $ 1,232 (As of 2011)
Made up of three islands with rapidly increasing population, and few natural resources. As of 2008 about 50% of the population lives below the international poverty line of US$1.25 a day, due to numerous coups d'etat since independence in 1975.
[h=2]#19. Haiti[/h] GDP Per Capita: $1,235 (As of 2011)
Haiti is a free market economy that enjoys the advantages of low labor costs and tariff-free access to the US for many of its exports. Poverty, corruption, and poor access to education for much of the population are among Haiti's most serious disadvantages. Haiti's economy suffered a severe setback in January 2010 when a 7.0 magnitude earthquake destroyed much of its capital city, Port-au-Prince, and neighboring areas. Already the poorest country in the Western Hemisphere with 80% of the population living under the poverty line and 54% in abject poverty, the earthquake inflicted $7.8 billion in damages. Seven out of ten Haitians live on less than US$2 a day, according to the International Red Cross.
[h=2]#20. Uganda[/h] GDP Per Capita: $1,317 (As of 2011)
Uganda is one of the poorest nations in the world, with 37.7 percent of the population living on less than $1.25 a day. Uganda has substantial natural resources, including fertile soils, regular rainfall, small deposits of copper, gold, and other minerals, and recently discovered oil. Despite making enormous progress in reducing the countrywide poverty incidence from 56 percent of the population in 1992 to 31 per cent in 2005, poverty remains deep-rooted in the country's rural areas, which are home to more than 85 per cent of Ugandans.
 
Nani kasema Tanzania ni nchi maskini????

Tanzania ni nchi tajiri sana yenye wakazi wenye fikira za kimasikini.
 
kama kawaida Wabongo tumezoea Uchakachuzi, si ajabu na hii nayo imechakachuliwa,,, lakini masikini ni watu sio nchi naamini kabisa kwamba Tanzania yenyewe ni Tajiri ila watu wke ndo..... hii ni kwa mujibu wa uelewa wangu mdogo.
 
...achana na matakwimu hayo,hebu twende huko migodini kunakoinua pato la nchi ukaone maisha ya watu wanaozunguka migodi ndo utajua maana ya umasikini..
 
Watu wameng'ngania takwimu za miaka 20 iliyopita .. Tanzania nchi ya tatu kwa umasikini Duniani mara Tanzania nchi ya kwanza kwa umasikini Duniani. Angalia Orodha ya Nchi masikini kutoka katika macho ya watu wanaoijua Dunia. Tanzania haimo kwanye orodha ya nchi 25 masikini zaidi Duniani.. Hii maana yake imependa sana katika miaka ya hivi karibuni kutoka nafasi ya 3 hadi nafasi ya 26! Aidha kwa kasi tuliyonayo tunaendelea kuzivuta nyuma nchi mbali mbali na kwenda juu zaidi. Aidha Tanzania inatajwa kuwa moja kati ya nchi 10 duniani ambazo uchumi wake unakuwa kwa kasi. Nchi Tajiri zaidi Duniani ni Qatar!
1001011_545338152168858_129569371_n.jpg


https://fbcdn-sphotos-e-a.akamaihd....0x720/1001011_545338152168858_129569371_n.jpg
 
Kaandika MBONGO!!
Huna lolote.. Hivi kongo nyo ni maskini?
 
Mkuu hebu tuwekee source inayoeleweka,siyo kutuleta ushabiki hapa wa picha!
 
Back
Top Bottom