Takwimu: Zijue nchi masikini Duniani

Takwimu: Zijue nchi masikini Duniani

Nimechukua ukuaji wa GDP kati ya Tanzania na Rwanda!
Hebu cheki tunavyoporomoka kulinganisha na Rwanda kuanzia mwaka 2009....
Kwa miaka 2-3 ijayo Rwanda itakuwa juu yetu!
Kwa hiyo huyu mleta mada hakuisoma ripoti kwa upana wake.

[TABLE="class: MsoNormalTable, width: 93"]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]S/N[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Country[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]2009[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]2010[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]2011[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]2012[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]2013[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]25[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Rwanda[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]$1,201.01[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]$1,278.08[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]$1,384.04[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]$1,485.91[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]$1,591.71[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]26[/TD]
[TD]Tanzania[/TD]
[TD]$1,322.92[/TD]
[TD]$1,392.88[/TD]
[TD]$1,469.19[/TD]
[TD]$1,566.71[/TD]
[TD]$1,670.21[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"][/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Difference[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]$120.9[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]$114.8[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]$85.1[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]$80.8[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]$58.5[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Ndio maana tunaambiwa watanzania tumelala. Kila siku sisi tunasoma figure ya mwisho badala ya kuangalia mtiririko mzima. Ni aibu kwa nchi kama tanzania kuzidiwa ukuaji kiuchumi na Rwanda. Rwanda ni ndogo sana, inazidiwa ukubwa na mikoa ya tanzania zaidi ya 15, Pia rasilimali tulizonazo ni nyingi kulinganishwa na Rwanda. Acha tuendelee kulala ila baridi litakapozidi kukikaribia asubuhi Naamini tutatafuta shuka likopo.
 
Kwa maoni yangu Tanzania lazima tuwepo kwenye tano masikini maana mimi shughuli zangu nyingi huwa ni kuzunguka vijijini huko hali ni mbaya sana
 
sasa hapo cha ajabu nini? wa tanzania mnapenda wenyewe kuwakumbatia "magamba" , na tutaendelea kupeta kwenye hizo chati za umwide mpaka kucheeee.
 
Leo katika Gazeti la Majira nimekutana na Repoti hii.
UMOJA wa Mataifa (UN), umeziweka nchi 48 katika kundi la nchi maskini duniani (LDCs), zikiwemo nchi 33 za Afrika, Asia (9), Pacific (5) na Caribbean (1).

Ripoti ya nchi maskini sana duniani ya mwaka 2012 iliyotolewa na Shirika la Biashara na Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNCTAD) kutoka Geneva, nchini Uswisi, ilisema idadi ya watu waliohamia Ulaya kutoka nchi maskini sana (LDCs) iliongezeka.

Ongezeko hilo ni kutoka watu milioni 19 mwaka 2000 hadi milioni 27 mwaka 2010, sawa na asilimia 3.3 ya wakazi wote wa nchi hizo.

Kwa mujibu wa ripoti ya nchi maskini sana duniani ya mwaka 2012, iliyotolewa na UNCTAD, ilisema nchi maskini sana duniani zinatoa asilimia moja ya wahamiaji duniani kote.

Imesema wahamiaji wanne kati ya watano kutoka LDCs, wanaishi katika nchi zinazoendelea (Kusini) na mmoja kati wa watano ndiye anaishi kwenye nchi zilizoendelea (Kaskazini).

“Kiwango cha fedha zinazotumwa na raia waliohamia ng’ambo kwenda katika nchi zao, kiliongezeka mara nane kati ya mwaka 1990 na 2011, kutoka dola bilioni 3.5 hadi bilioni 27.

“Mwaka 2011, kiasi cha fedha zilizotumwa kwenda nchini Tanzania kutoka Uingereza zilikuwa dola milioni 4.5, kutoka Canada milioni 3.2 na kutoka Kenya milioni 2.5,” ilisema taarifa hiyo.

Fedha zilizotumwa kwenda LDCs, zilikuwa mara mbili ya thamani ya uwekezaji wa moja kwa moja (FDI).

Nchi maskini zilizotajwa ni Angola, Benin, Burkina Faso, Burundi, Central African Republic, Chad, Comoros, Congo (DRC), Djibouti, Equatorial Guinea, Eritrea, Ethiopia, Gambia, Guinea, Guinea-Bissau, Lesotho, Liberia, Madagascar na Malawi.

Nyingine ni Mali, Mauritania, Msumbiji, Niger, Rwanda, Sao Tome na Principe, Senegal, Sierra Leone, Somalia, Sudan, Togo, Uganda, Tanzania, Zambia, Afghanistan, Bangladesh, Bhutan, Cambodia, Lao, Myanmar, Nepal, Timor-Leste, Yemen, Caribbean, Haiti,
Kiribati, Samoa, Solomon Islands, Tuvalu na Vanuatu

My Take!
Hivi nchi hii tujiringanishe na Kenya tu ambao hawapo miongoni mwa nchi masikini walichotushinda ni nini kwa upande wa Rasilimali, Hapa naona viongozi waliopo madarakani wanacho cha kujibu kwa nini Tanzania kwa wingi wa Rasilimali tulizonazo bado ni Masikini, Hii ni aibu kubwa sana jamani.

wajuaji kuliko watz ndio walipotuzidia..
 
Tunaishukuru serikali ya CCm ilipotufikisha,
na sasa wamefanikiwa kuupitisha mswada wa katiba sijui watufikisha wapi.
Ni muda mwafaka 2015 Watanzania kufanya maamuzi magumu
 
Kaulimbiu ya miaka 50 ya uhuru ni "TUMETHUBUTU TUMEWEZA TUNASONGA MBELE." Kama CCM wamethubutu wametufikisha hapa, wakisonga mbele si watatuuza kama kuku ili baadae nchi isiwepo kabisa? Hima 2015 tuipumzishe CCM kwa amani kabla hatujapotezwa kabisa katika ramani ya Dunia.
 
Tunaishukuru serikali ya CCm ilipotufikisha,
na sasa wamefanikiwa kuupitisha mswada wa katiba sijui watufikisha wapi.
Ni muda mwafaka 2015 Watanzania kufanya maamuzi magumu

Kama wamefanikiwa kupitisha mswada huo kwa nguvu watashidwaje kutangaza matokeo ya uchaguzi kwa utashi wao?..
 
Nyie wa tz si mnashinda kwenye misikiti na jumia za kikristo huku mkiaminishana kwenda kuishi vizuri mbinguni huku wezi wakichukua rasilkmali zetu lkiwemo tanzanight nk.Nashauri dini zingilie kati kuhusu umasikini wetu
 
Kilichobaki ni kuwatoa magamba madarakani ili tutoke kwenye list maana wanajinufaisha wao kwa wao meno ya tembe wao, twiga kupeleka nje wao, mikataba mibovu wao, ufisadi wao, uongozi mbovu wao, madawa ya kulevya wao, ccm ndo iliyotufikisha apa
 
There are 204 countries,809 islands and 7 seven seas, some countries are highly developed while others are very poor even they don't have the basic necessity of life, we present you the list of 10 poorest countries in the world:

10. TOGO

9. SIERRA LEONE

8. CENTRAL AFRICAN REPUBLIC

7. MALAWI

6. ERITREA

5. SOMALIA

4. BURUNDI

3. LIBERIA

2. DEMOCRATIC REPUBLIC OF CONGO

1. ZIMBABWE
 
Back
Top Bottom