Uko saw a mkuu lakn kuna watz wanapenda kutisha ndio maana hata wengi tunaogopa viongoz wetuJF kubwa , ungekaa kimya wangekuchinjia baharini, na kumbuka data base inaexpire date ni Bora umepigania mapema kabla jina lako alijafutwa kwenye data base.
Weka link hapa, isije ikawa kanyaboya hiiModerator rekebisheni ama uzi usimamishe maana kwenye majina ya leo mleta mada kapangiwa kituo cha kazi.
Kila la kheri kwake na akapige kazi.
Hongera kwako Liability utumishi wamesikia kilio chako.
View attachment 1864815
Kafanya uzembe wa dhahiri na wote tumeona, mawaziri wazembe wazembe kama huyo hawatufai..!!!Kwani kakosea nn wazr c kiongozi wa umma tuu
Weka link hapa, isije ikawa kanyaboya hii
Baada ya kuwakalia kooni si ndio? Asingekuja huku ingekuwaje?Tayari kapangiwa leo
Hakuna, hadi tujiridhishe kwanza...
Hakuwa amepangiwa, bali aliambiwa asubiri, na haambiwi hadi lini, yaani ilikuwa danadanaMie hata sikupi pole, kwani lazima ufanye kazi huko uliko? Ajira ngumu, umepata kituo kipya cha kazi kwanini usiende? Nenda Kafanye kazi acha kulalamika aisee, wenzio huwa wanaomba hata wakibadilishwa vitu mara mia cha muhimu Ana ajira. Wewe mvivu na huna shida ya ajira
Sawa, ila kwanini kituo chake cha awali apewe aliyefeli usahili mwaka jana, na hana vigezo kwa iliyotangazwa mwaka huu, na hata usahili hakufanya kwa mwaka huu?Pole sana; ushauri wangu fuata maelekezo uliyopewa kwamba usubiri nafasi zingine zikipatikana watakufanyia placement. Bila shaka itakuwa wamekuweka ktk database. Kuwa na subira mkuu
Yeye na mimi, unatakaje kwani?Ficha ujinga wako. Unamkumbuka wewe na nani?