TAKUKURU: Kwenye TFF kuna hela zimetumika vibaya

Kwahakika ndani ya TFF kuna shida katika mfumo wa mapokezi na matum,izi ya fedha! Inaonyesha hakuna uthibiti mzuri wa matumizi ya pesa zinazopelekwa ndani ya shirikisho hilo! Kauli zao pia zinaacha maswali mengi kuliko majibu. Katibu mkuu Wllfred Kidau anasema fedha hazikuingia account za TFF, na kwamba matpokezi na matumizi yake yaliratibiwa na Kamati ya maandalizi chini ya Mwenyekiti wake aliyekuwa Waziri Mwakyembe na makamu wake Leodga Tenga. Dk Mwakyembe nae anasema Rais Wallace Karia au TFF haiwezi kujiweka kando na sakata hili, na kwamba walihusika moja kwa moja! Kwa Upande mwingine Rais Karia ameshasema akikutwa aligusa hizo fedha asulubiwe! Yaani kajiapiza kuwa haukuzigusa na wala hakuidhinisha matumizi yake! Sasa hapa yanakuja maswali; Je hivi ni nani aliyekuwa mwenyeji na muandaaji wa yale mashindano kama sio TFF?...Je fedha za serikali zinapoingia ndani ya TFF, kwa matumizi yoyote yale ni nani mwidhinishaji mkuu wa matumizi yake? .....Je ndani ya TFF mtu yeyote anaweza kuidhinisha matumizi ya fedha za serikali bila rais wa shirikisho hilo kuruhusu au kushirikishwa?.....Je ndani ya shirikisho hilo hakuna wataalamu wa masuala ya fedha wanaoweza kutoa ushauri juu ya utaratibu sahihi wa matumizi ya fedha za serikali?..Kama haya maswali yote yana majibu basi Rais Karia na TFF hawezi kuchomoka kwenye sakata hili maana kwa mapana yake linagusa mpaka Wizara yenye dhamana na michezo.
 
Bora wameliona hilo huyu rais wa TFF anajidai sana kuwa yeye mwaminifu ngoja na yeye akasokwe ndani.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mimi nilijua ts a matter of time tu, hawa jamaa wamewatesa sana akina Malinzi, Wambura, Aveva, Kaburuu na wenzake, Kuna kijana mmoja yuko bodi ya league pale ameteswa sana na kidau, aka kajamaa kana roho mbaya sana
 
Iko hivi ,hizo TFF waliomba ,rais akatoa hela kwa kamati iliyoundwa jua ile kamati siyo TFF,kamati ndo walifanya matumizi kama kununua kapet n.k ,na siyo hela ya Rais tu kuna wadau pia walichanga
Kwahakika ndani ya TFF kuna shida katika mfumo wa mapokezi na matum,izi ya fedha! Inaonyesha hakuna uthibiti mzuri wa matumizi ya pesa zinazopelekwa ndani ya shirikisho hilo! Kauli zao pia zinaacha maswali mengi kuliko majibu. Katibu mkuu Wllfred Kidau anasema fedha hazikuingia account za TFF, na kwamba matpokezi na matumizi yake yaliratibiwa na Kamati ya maandalizi chini ya Mwenyekiti wake aliyekuwa Waziri Mwakyembe na makamu wake Leodga Tenga. Dk Mwakyembe nae anasema Rais Wallace Karia au TFF haiwezi kujiweka kando na sakata hili, na kwamba walihusika moja kwa moja! Kwa Upande mwingine Rais Karia ameshasema akikutwa aligusa hizo fedha asulubiwe! Yaani kajiapiza kuwa haukuzigusa na wala hakuidhinisha matumizi yake! Sasa hapa yanakuja maswali; Je hivi ni nani aliyekuwa mwenyeji na muandaaji wa yale mashindano kama sio TFF?...Je fedha za serikali zinapoingia ndani ya TFF, kwa matumizi yoyote yale ni nani mwidhinishaji mkuu wa matumizi yake? .....Je ndani ya TFF mtu yeyote anaweza kuidhinisha matumizi ya fedha za serikali bila rais wa shirikisho hilo kuruhusu au kushirikishwa?.....Je ndani ya shirikisho hilo hakuna wataalamu wa masuala ya fedha wanaoweza kutoa ushauri juu ya utaratibu sahihi wa matumizi ya fedha za serikali?..Kama haya maswali yote yana majibu basi Rais Karia na TFF hawezi kuchomoka kwenye sakata hili maana kwa mapana yake linagusa mpaka Wizara yenye dhamana na michezo.

MONEY STOP NONSENSE
 
Kaka mm nimewahi kufanya kazi TFF, Pale tff hakuna mwenye uwezo wa kuyajibu aya maswali, sio mhutu kidau au msomali karia na wala sio mkurugenzi wa fedha, kwenye kurugenzi ya sheria mkuu wa kitengo ni mwanasheria wala sio wakili ila msaidizi wake ni wakili ambae hana mamlaka ya kushauri lolote lile.
 
Iko hivi ,hizo TFF waliomba ,rais akatoa hela kwa kamati iliyoundwa jua ile kamati siyo TFF,kamati ndo walifanya matumizi kama kununua kapet n.k ,na siyo hela ya Rais tu kuna wadau pia walichanga

MONEY STOP NONSENSE
Mkuu sasa kama TFF hawahusiki kwanini wanaitwa kuhojkiwa? Hata Mwakyembe kasema Rais wa TFF Wallace Karia kwa cheo chake anaingia moja kwa moja katika kamati ile maandalizi, kuingizwa moja kwa moja kwa mkuu wa TFF maana yake TFF ilihusika moja kwa moja!..So kama hawakuhusika na pesa zile si basi watoe tu ushiriano ili waliokula wakamatwe na sio kuanza kupiga kelele wakati hata sindano bado haijaanza kuchomwa! Watulie dawa iingie!
 
Karia alishasema anaruhusu uchunguzi kiroho safi

Back
Top Bottom