Mackanackyyy
JF-Expert Member
- Mar 26, 2019
- 2,338
- 5,263
Wakati ule anamtusi Lissu hakujua kama karma ni hapa hapa dunianinilimuonya karia kitambo sana !
Wakati ule anamtusi Lissu hakujua kama karma ni hapa hapa dunianinilimuonya karia kitambo sana !
Karia mwizi fulani ambaye ni mjanja mjanja tu wala asikudanganye kuwa mtu wa system. Kama Karia yuko system basi Watanzania wote tuko kwenye hiyo system au TISSKARIA ni mtu wa system, wanajua aliyekula hela , hazijaliwa TFF, makada wamepiga na itaisha mama msabilioni ya kikwete yalipigwa na watu kwa sasa wanajiita MATAGA
Uhakika upo ndicho alichosema Brig General John Mbungo. Wanapofanya uchunguzi wanaanzi kwenye shina ambalo ni fedha zilikotoka. Baada ya hapo ndiyo wamekwenda TFF wanakufa hazijaingia kwenye akaunti. Ndiyo maana Brig General John Mbungo anasema rudisheni. Kwa hiyo anajua nani kachukua ngapi na nani ngapi!!Ila kuna uhakika wowote kama Rais alitoa hiyo hela ?isije ikawa changa la macho,kama alitoa alimpa nani wakati TFF wamesema haikuingizwa kwenye account yao
Uhakika upo ndicho alichosema Brig General John Mbungo. Wanapofanya uchunguzi wanaanzi kwenye shina ambalo ni fedha zilikotoka. Baada ya hapo ndiyo wamekwenda TFF wanakufa hazijaingia kwenye akaunti. Ndiyo maana Brig General John Mbungo anasema rudisheni. Kwa hiyo anajua nani kachukua ngapi na nani ngapi!!
Bro, kakaa sana halmashauri na anafanya kazi nyingi za system, na kwenye hili sakata anaweza hata kuwekwa ndani baadae akachomoka, system inapandikiza watu, mnakufa pamoja mwisho kabisa anachomoka.Karia mwizi fulani ambaye ni mjanja mjanja tu wala asikudanganye kuwa mtu wa system. Kama Karia yuko system basi Watanzania wote tuko kwenye hiyo system au TISS
Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa imesema shirikisho la mpira(TFF ) kuna hela zimetumika vibaya,baadhi ya watuhumiwa wameitwa kuhojiwa na nyaraka mbalimbali zimechukuliwa .
TAKUKURU imesema watu hao wana hiari ya kurudisha hela au kusubiri uchunguzi ukamilike.
Mkurugenzi wa TAKUKURU Brigadia John Mbungo amesema Kwenye shirikisho la Mpira nchini TFF Kuna Fedha zimetumika vibaya amesema baadhi ya wameitwa na kuhojiwa na nyaraka mbalimbali zimechukuliwa
> Amesema kuwa watu hao wana hiari ya kurejesha fedha ama kusubiri uchunguzi ukamilike
>. Amesema kuwa miongoni mwa fedha hizo ni zile zilizo tolewa na Rais John Magufuli
TFF wajibu > Baada ya TAKUKURU kusema itawahoji TFF kuhusu Bilioni 1 ya AFCON ya vijana iliyotolewa na Rais Magufuli, TFF yasema haijawahi kupokea fedha hizo
NB: Kuna nini TFF kwanini kila awamu inayoingia lazima ipige hela .
wao wamekanusha kwamba hazikuingia kwenye acc ya TFF zitakua ziliingia wapi? au ndo zile zilitumika kugharamia safari za wabunge,pierre kwenda misri