TAKUKURU: Kwenye TFF kuna hela zimetumika vibaya

Ni ngumu sana kuwamaliza "mchwa" wote nchini kwa kumtegemea mtu mmoja tu. Siku huyo mtu akijiwa na wazo la kutengeneza mfumo imara, mambo mengi yatatengemaa.
 
Salamu

Hii fedha imekuwa na ufafanuzi wenye mkanganyiko mkubwa kati ya waziri wa michezo Mh. Dkt. Mwakyembe, BMT na TFF

Mh waziri anasema ni 'zaidi' ya bilioni 1.7 huku kukiwa na maswali juu ya matumizi ya fedha iliyotolewa na Mh. Raisi pamoja na wadau wengine

Mpaka sasa hili swala linachunguzwa na TAKUKURU huku wahusika na wadau wa michezo wakihimizwa kutoa ushirikiano kwa taasisi ili kuubaini ukweli.

Wadau na wajuzi wa mambo hili limekaa vipi kwa Mh waziri je, hili ni kuti kavu?

Tiririka...


Sent from my iPhone using JamiiForums
Msomali kasema pesa haijaingia kwenye account ya TFF ...na pia ile michuano ya U17 ambayo hiyo B ilitakiwa itumike imeacha madeni mpaka le TFF wanadaiwa....

Hii issue ni ngumu...

Sent from my itel it1556 Plus using JamiiForums mobile app
 
Wezi wapo kila sehemu. Serikalini na TFF.

Walioiba wakati wa Jakaya wamenyoshwa. Wanaoiba awamu hii watakuja kunyoshwa na awamu ya sita.

Za sasa ni kelele za kutafuta ujiko. Toka lini serikali ikasema warudishe pesa yaishe?

Tumeyaona vyama vya ushirika.
 
Kuna mtu anadanganya hapa
Either TFF,Wizara au Mlipaji ila swali rahisi sana kwa nini wote wasichunguzwe kujua ukweli.Waitwe wote wahojiwe na mahesabu yakaguliwe tujue.Ila naona kuna kufichiana sana siri miongoni mwa wapigaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
karma is a bitch..mwisho wa Karia umefika hakuna aliyekumbwa na kashfa ya ubadhirifu TFF akabaki salama..poleni mikia muda wenu wa magoli ya offside kuwa halali umefika..huyo brigedia Mbungo atakuwa mwananchi
 
Sisi hatubwebi hata aingie Rais gani tutachukua ubingwa back to back
karma is a bitch..mwisho wa Karia umefika hakuna aliyekumbwa na kashfa ya ubadhirifu TFF akabaki salama..poleni mikia muda wenu wa magoli ya offside kuwa halali umefika..huyo brigedia Mbungo atakuwa mwananchi

MONEY STOP NONSENSE
 
Back
Top Bottom