Mashaxizo
JF-Expert Member
- Jun 13, 2013
- 6,707
- 3,360
Limbwata tu linakutosha mkuu
Mwekundu mi na wewe hatugombani!
But believe me jamaa Nyani ngabu wakimuekea mbunye afu ukijifanya unamtaka tunagombana!
Nimeshamuahi! So utafute wengine!
Limbwata tu linakutosha mkuu
Hii ni deal la hasara nitatimia costs zangu kukusafirisha kwa ungo hadi makaburini usiku huu halafu wakikuzika pesa yangu nitaopataje?
Sianzi na "bullshit!"Mambo niaje JFers...
Sasa bana....mimi nataka nitoe changamoto kwenu nyie mnaodai uchawi upo. Changamoto yenyewe inahusu mambo ya (imani za) kichawi.
Mimi tokea nianze kujitambua sijawahi kukubali kuwa uchawi upo. Na mpaka leo hii bado nakataa. Na ninachokataa ni uwepo wa hizo nguvu za kichawi.
Sasa nataka mtu anithibitishie kuwa kweli uchawi upo kwa kuniroga mimi. Atakayefanikiwa kufanya hivyo atajipatia kitita cha dola za Kimarekani elfu kumi ($10,000.00).
Nani atathubutu?
Acha dharau wewe. $10K kwangu ni chump change.
Huwezi kupatiwa kabla ya kumaliza kazi maana naweza kukupa halafu ukaingia mitini.
Kama unaweza wewe fanya mambo bana.
Nitakubadili jinsia kwa muda wa wiki moja, natafuta mwanasheria kwanza wa kuzikamata kabisa hizo pesa..
Mkuu ukimbadilisha jinsia naomba unipe taarifa..nataka nitume mshenga kwao..nimchukue jumla
Mambo niaje JFers...

asap!!