Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,514
- 146,036
Mambo niaje JFers...
Sasa bana....mimi nataka nitoe changamoto kwenu nyie mnaodai uchawi upo. Changamoto yenyewe inahusu mambo ya (imani za) kichawi.
Mimi tokea nianze kujitambua sijawahi kukubali kuwa uchawi upo. Na mpaka leo hii bado nakataa. Na ninachokataa ni uwepo wa hizo nguvu za kichawi.
Sasa nataka mtu anithibitishie kuwa kweli uchawi upo kwa kuniroga mimi. Atakayefanikiwa kufanya hivyo atajipatia kitita cha dola za Kimarekani elfu kumi ($10,000.00).
Nani atathubutu?