Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,514
- 146,037
- Thread starter
- #61
Sometimes I wonder goes in in your mind NN. teh teh teh.
I'm a nut. Ain't I?
Sometimes I wonder goes in in your mind NN. teh teh teh.
Urogwe ili uweje?? au uwekewe sehemu za siri usoni??? Anyway Uchawi hauvuki bahari teh tah teh!!!
Ila uchawi upo ila hata siku moja usiombe kurogwa.. kama unataka kuamini tembelea sehemu uone. Shinyanga kuna sehemu huwa wanapiga " maduguri" ngoma ya wachawi ukifanikiwa kuhudhuria utashangaa, au tafta fundi uombe akutengenezee jini uone nauhakika utashangaa, Ila usirudie tena kuomba kulogwa
I'm a nut. Ain't I?
Ngabu anataka promo?
Hapo totoz ndio zitatajirika ila mwishowe itakuwa kifo Kapuya style.
Mambo niaje JFers...
Sasa bana....mimi nataka nitoe changamoto kwenu nyie mnaodai uchawi upo. Changamoto yenyewe inahusu mambo ya (imani za) kichawi.
Mimi tokea nianze kujitambua sijawahi kukubali kuwa uchawi upo. Na mpaka leo hii bado nakataa. Na ninachokataa ni uwepo wa hizo nguvu za kichawi.
Sasa nataka mtu anithibitishie kuwa kweli uchawi upo kwa kuniroga mimi. Atakayefanikiwa kufanya hivyo atajipatia kitita cha dola za Kimarekani elfu kumi ($10,000.00).
Nani atathubutu?