mutu ya watu
JF-Expert Member
- Dec 19, 2010
- 213
- 41
hapo ulipo ushalogwa long time, umelogwa nini akili umelogwa jf udhibitisho haiwezi pita cku lazma ufungue jf we ulifikiri ukoje hata akili inaweza logwa!
hapo ulipo ushalogwa long time, umelogwa nini akili umelogwa jf udhibitisho haiwezi pita cku lazma ufungue jf we ulifikiri ukoje hata akili inaweza logwa!
Sasa si kuna mtaji wa kukulogea? Sina nauli ya kwenda pori kwa babu nikakutengeneze. Tuma walau dola 1,500 za kuanzia
sasa ngabu wewe ukishalogwa utajielewa tena??
ama unataka ulogwe vipi??
manake hata kwenye project kuna indicators sasa wewe utajuaje kama ulonzi umekuingia??
huend aikawa hapo ulipo hadi kuanzisha hii thread ni ulonzi tayari ulofanyiwa ila hujijui.....
Mambo niaje JFers...
Sasa bana....mimi nataka nitoe changamoto kwenu nyie mnaodai uchawi upo. Changamoto yenyewe inahusu mambo ya (imani za) kichawi.
Mimi tokea nianze kujitambua sijawahi kukubali kuwa uchawi upo. Na mpaka leo hii bado nakataa. Na ninachokataa ni uwepo wa hizo nguvu za kichawi.
Sasa nataka mtu anithibitishie kuwa kweli uchawi upo kwa kuniroga mimi. Atakayefanikiwa kufanya hivyo atajipatia kitita cha dola za Kimarekani elfu kumi ($10,000.00).
Nani atathubutu?
Upo tayari kuhama mtaa unaoishi kwa aibu? Maana test ya kwanza utapata fahamu ukiwa mtaani bila nguo hata moja na raia wanakushangaa. Ila weka robo ya hiyo pesa mezani kwanza alafu robo tatu baada ya kazi kuisha.
Sema basi unataka urogwe kivipi mkuu
1 Nikuoteshe busha
2 Uwe chizi
3 Roho iachane na mwili kabisa (ktk hii itabidi unipe kabisa hela yangu nisije kosa wa kumdai)
4 Nikuchukulie mkeo (hahahaaaaaa!! utani wa ngumi huo )
Urogwe ili uweje?? au uwekewe sehemu za siri usoni??? Anyway Uchawi hauvuki bahari teh tah teh!!!
Ila uchawi upo ila hata siku moja usiombe kurogwa.. kama unataka kuamini tembelea sehemu uone. Shinyanga kuna sehemu huwa wanapiga " maduguri" ngoma ya wachawi ukifanikiwa kuhudhuria utashangaa, au tafta fundi uombe akutengenezee jini uone nauhakika utashangaa, Ila usirudie tena kuomba kulogwa
Unaweza ukarogwa uzitie moto hizo 10,000$ USD, sijui utalipa nini na akiba yako ndiyo hiyo.
Acha dharau wewe. $10K kwangu ni chump change.
Naomba nikusahihishe, kupewa sumu sio uchawi.Kama uamini kamhulize Mh Dr .Mwakyembe maana yeye anajisema nilishakufa zamani siogopi kitu tena!!
Pasipokujua, mnaokomalia hoja kwamba amerogwa ndio maana anashinda JF mnaungana na mwana wa Ngabu​ katika kukubali kuwa uchawi haupo.hapo ulipo ushalogwa long time, umelogwa nini akili umelogwa jf udhibitisho haiwezi pita cku lazma ufungue jf we ulifikiri ukoje hata akili inaweza logwa!
sasa ngabu wewe ukishalogwa utajielewa tena??
ama unataka ulogwe vipi??
manake hata kwenye project kuna indicators sasa wewe utajuaje kama ulonzi umekuingia??
huend aikawa hapo ulipo hadi kuanzisha hii thread ni ulonzi tayari ulofanyiwa ila hujijui.....
Mkuu ukimbadilisha jinsia naomba unipe taarifa..nataka nitume mshenga kwao..nimchukue jumlaNitakubadili jinsia kwa muda wa wiki moja, natafuta mwanasheria kwanza wa kuzikamata kabisa hizo pesa..
basi sawa mimi ata usinilipe ila nitakuhamisha uishi nje ya mwili wako kwa siku mbili tu..alafu utaamini kama huo unaosema upo ama haupo..
lini nianze zoezi?