Tajiri wa mahindi Mbinga, Songea awatapeli wananchi

Tajiri wa mahindi Mbinga, Songea awatapeli wananchi

Mbona humu JF watu wengi wamepigwa. Umeshamsahau ontario na utajiri wake wa forex. Hadi boss wa JF alichoma akaunti....
😂😂😂😂😂😂 mkuu vunga basi usikumbushe watu machungu na hela ilivyo ngumu siku izi
 
Sasa kufunga barabara kunahusu nini na tajiri wao muuza mahindi, kumbe mbwembwe zote walikuwa wanuza kwa mkopo? Mimi nilijua kulele zote wanauza cash haaa haaa haaa dunia hii haiishi vituko!
 
Atakuwa ametokea kwenye chama kileeeeee
We matako,hata kama hamnazo, siku zingine jaribu igiza unazo,wewe siku zote unawaza siasa tu. Jina,sura yako haviakisi kabisa na matope ya kichwani mwako.
 
Kwa kweli, kwa staili hii sisiemu itatawala milele kabisaa!!!????
 
Nakushauri uende kuwapiga wakenya au waganda au wanyarwanda haipendezi kuwapiga ndugu zako wa tz, mara nyingi mimi huwa sielewi inawezekanaje utengeneze dawa feki kisha unaziuza kwa ndugu zako wa tz wakati kenya ipo
hapana nitawapiga hawahawa.
 
Dah, Tz raha sana[emoji23][emoji23][emoji23], watu waliamini kabisa kwamba mtu anaweza nunua mahindi 75,000 then auze 45,000? Kweli? Hamna hata kujiuliza hayo ni mazingaumbwe ya wapi?

Huu ujinga mpaka uje utuishe ndo tutajua haki.zetu ni.zipi.

Tanzania kwa ujinga uliopo bado watu wapo Enzi za Mawe,

Hapa ndo ujue CCM itatawala miaka.100 ijayo mpaka kamasi zote zitakapoisha vichwani!![emoji51][emoji51][emoji51]
Sasa hapa CCM imeingiaje, kwani hayo mahindi yalikuwa yananunuliwa na CCM?

Huwezi eleza hoja zako bila kuihusisha siasa?
 
Hapana mkuu sio hivo! Unapeleka mahindi yako tuseme gunia 5, unalipwa cash kabisa. Ila watu walishangaa anapataje faida wakati alikuwa anauza bei ya chini zaidi ya aliyokuwa ananunua, mf. ananunua gunia kwa sh, 70,000 kisha anauza gunia hilo kwa sh 40,000.
Kwanini walikuwa wanamfatilia anapoyauza, wao wangemuuzia halafu waachane nae.
 
Back
Top Bottom