Ukweli nikwamba hajawahi kulipa cash ilikuwa ni mkopo sema mwanzo ndani ya siku tatu tu analipaKuwalipa cash ilikua chambo,walipomuamini akaanza kuwakopa,kisha akalala mbele Dubey
CCM, hilo mbona liko wazi tu mkuu.Atakuwa ametokea kwenye chama kileeeeee
Hata mm nashangaaaaaKama alikuwa ananunua kwa 75000 na kuuza kwa 45000 cjaelewa ni jinsi gani kawatapeli hao wakulima? Ufafanuz tafadhali
Tajiri wa mahindi ana bichwa kama Lisu
Niliwaambia huyo jamaa anawapiga.Nipo barabarani hapa tumezuiwa kupita wananchi wamefunga barabara hapa Mbinga kwa tuhuma za kutapeliwa na tajiri mmoja aliyekuwa ananunua mahindi.
Inasemekana alikuwa anananua kwa elfu 75 na kuyauza kwa elfu 45 sasa baada ya kukusanya mzigo wa mahindi wa kutosha na kuyauza sasa kakimbia kawaachia manyoya wananchi mpaka wamefikia hatua ya kutia fujo kuandamana na kufunga barabara magari yasipite.
View attachment 1603108View attachment 1603109View attachment 1603110
Nakushauri uende kuwapiga wakenya au waganda au wanyarwanda haipendezi kuwapiga ndugu zako wa tz, mara nyingi mimi huwa sielewi inawezekanaje utengeneze dawa feki kisha unaziuza kwa ndugu zako wa tz wakati kenya iponimebaki mimi kuwapiga mpunga wa maana watanzania.
Alikuwa anawaangalia anasema hiiiiiii😀😀Walivyokuwa wanamshangilia sasa. ..kumbe ana mpango wake akilini,ama kweli mjini shule
Wakeii walikukosea nini😀Nakushauri uende kuwapiga wakenya au waganda au wanyarwanda haipendezi kuwapiga ndugu zako wa tz, mara nyingi mimi huwa sielewi inawezekanaje utengeneze dawa feki kisha unaziuza kwa ndugu zako wa tz wakati kenya ipo
Watanzania sijui wanafikiria kwa kutumia nini? where on earth could that be possible in business?Lilikuwa ni jambo la muda tu.
Nimeuona uzi ila haujajibu swali langu.E uzi wake hujauona?
Soma comment yangu utapata majibu Mimi ni wa huko huko najua uyo jamaa alivyokuwa anafanya watu walihamia huko had kuuza migahawa kutokana na population iliyokuwa ikifurika huko yani ilitokea hadi migrationNimeuona uzi ila haujajibu swali langu.
Kawatapeli kivipi?Kachukua mahindi halafu hajawalipa?