Freyzem
JF-Expert Member
- Jun 29, 2013
- 10,318
- 25,111
Bwashekhe kauza mahindi wananchi hawajapewa pesa zao
Ina maana alikuwa akichukua hayo mahindi kwa mkopo bila kulipa cash ama?
Kwamba hayo mahindi aliyachukua kwa wananchi kwa makubaliano gani?
Kwamba ni hadi auze yeye kwa 45k ndio awalipe ama!?[emoji848]