Tajiri wa mahindi Mbinga, Songea awatapeli wananchi

Babumawe

JF-Expert Member
Sep 12, 2014
2,556
2,560
Nipo barabarani hapa tumezuiwa kupita wananchi wamefunga barabara hapa Mbinga kwa tuhuma za kutapeliwa na tajiri mmoja aliyekuwa ananunua mahindi.

Inasemekana alikuwa anananua kwa elfu 75 na kuyauza kwa elfu 45 sasa baada ya kukusanya mzigo wa mahindi wa kutosha na kuyauza sasa kakimbia kawaachia manyoya wananchi mpaka wamefikia hatua ya kutia fujo kuandamana na kufunga barabara magari yasipite.

Zaidi, soma: Tajiri wa ajabu aibuka huko Ruvuma, Bilionea Barnaba Nyoni

IMG_20201017_152237.jpeg
IMG_20201017_152255.jpeg
IMG_20201017_152101.jpeg
 
Dah, Tz raha sana😂😂😂, watu waliamini kabisa kwamba mtu anaweza nunua mahindi 75,000 then auze 45,000? Kweli? Hamna hata kujiuliza hayo ni mazingaumbwe ya wapi?

Huu ujinga mpaka uje utuishe ndo tutajua haki.zetu ni.zipi.

Tanzania kwa ujinga uliopo bado watu wapo Enzi za Mawe,

Hapa ndo ujue CCM itatawala miaka.100 ijayo mpaka kamasi zote zitakapoisha vichwani!!😬😬😬
 
Back
Top Bottom