Kapwil
JF-Expert Member
- Apr 3, 2018
- 2,618
- 3,744
Huyu jamaa ni hatari sana
Huyu jamaa ni hatari sana
KumbafuAtakuwa ametokea kwenye chama kileeeeee
Yawezekana wakulima walikuwa wanampelekea mahindi na kuahidiwa kulipwa baadaye(si unajua jamaa ndio don) then baadae analala mbeleKama alikuwa ananunua kwa 75000 na kuuza kwa 45000 cjaelewa ni jinsi gani kawatapeli hao wakulima? Ufafanuz tafadhali
Vipi mkuu, malipo yameendelea kufanyika?Hizi Habari sio za kweli,jana tulikuwepo eneo la tukio,kwanza kabisa sio kweli kuwa KAWATAPELI WAKULIMA ,
La pili ni kwemba wakulima wenyewe na hasa wasiopeleka Mahindi pale walinaza kuleta fujo sababu kuna listi ya majina inaonekana Makarani wamewaingiza watu wa malipo FEKI ,jamaa hilo swala kalishtukia...
Hivyo alipotangaza utaratibu wa kugawa PESA za Malipo kikundi cha watu wachache kilitaka kuanzisha vurugu ndipo jamaa alipoomba aongezewe ulinzi na jeshi la polisi na zoezi kusimamishwa na atimaye kuahairisha polisi wakatoka nae..
Leo katoa taarifa kuwa JUMATANO watu waende wakasikilize utaratibu mpya wa kupewa malipo yao..
N.B: Tupende kuandika Taarifa zenye uthibisho kuliko taarifa zenye kuzua Taharuki hasa kwa wahusika
Nimefuatilia kwa mda ili jambo, nikajua tu haiwezekani hakuna biashara ya namna hiyo, jamaa na mwnzie kama mr KukuNipo barabarani hapa tumezuiwa kupita wananchi wamefunga barabara hapa Mbinga kwa tuhuma za kutapeliwa na tajiri mmoja aliyekuwa ananunua mahindi.
Inasemekana alikuwa anananua kwa elfu 75 na kuyauza kwa elfu 45 sasa baada ya kukusanya mzigo wa mahindi wa kutosha na kuyauza sasa kakimbia kawaachia manyoya wananchi mpaka wamefikia hatua ya kutia fujo kuandamana na kufunga barabara magari yasipite.
Zaidi, soma: Tajiri wa ajabu aibuka huko Ruvuma, Bilionea Barnaba Nyoni
View attachment 1603108View attachment 1603109View attachment 1603110
Ww naye unanukia harufu ya utapeliHuyu kijana tabia zake hata akikamatwa hatafanywa kitu chochote watamuweka lokup theni kesi itaisha tu kienyeji mganga aliempa dawa hiyo yupo ni kwa kazi hiyo hiyo
Nakupa historia huyu alikuwa askari magereza alifukuzwa kazi mwaka juzi kwa tabia hizi waulize watu wa mpanda na sumbawanga kawaliza sana watu.
Songea ndio kwaoNi kweli mkuu jamaa namfahamu pia alikuwa askari magereza pale Mpanda mjini. Ingawa siki za hivi karbuni kabla cjaondoka huko sikuwa nikimuona kumbe alikuwa kashafukuzwa kaz duh@
Jamaa tulofahamiana nae ktk harakat za hapa na pale alafu kulikuwa na demu natoka nae mshikaji nae akawa anamfatilia ingawa demu alikuwa akinambia c mtu wake nu mtu anaenifatilia tu
Ila ctory nimepiga nae sana. Kuna kipindi nikiwa nafanya kaz huko aliwahi nambia kama una fariki yako amesomea mambo ya afya hana ajira niunganishe nae nimfanyie mchongo kuna vituo vya afya magereza wanatafuta watu wa afya. Akawa anadai mm atanipa hela kidogo tu nimfanyie mpango, zilikuwa enzi hizo za JK.
Kuna jamaa angau mmoja aliwahi fanya nae biashara ya mahindi, baadae nikasikia jamaa kamdhurumu ikawa kama wanapelekana kwa vyombo vya dora ingawa ckujua wamelifikia wapi.
Kumbe jamaa alishafukuzwa kazi na sasa akaona njia pekee ni kukimbilia mikoa ya mbali na huko asikofahamika dah!.
Maisha haya bana kumbe ukisikia mtu katoboa bac c mchezo.
Ila pole yake wanasema za mwizi ni 39 arobaini unakamatwa.
Pole sana kijanaWw naye unanukia harufu ya utapeli
Songea ndio kwao
Kwaza nashangaa mh.Rais hajawafukuza kazi Rc,RPC,Rso,Rco, Dc ,DSO,ocd,occid ilitakiwa mpaka sasa hawa wawe ndani kwa uhujumu uchumiNi kweli mkuu jamaa namfahamu pia alikuwa askari magereza pale Mpanda mjini. Ingawa siki za hivi karbuni kabla cjaondoka huko sikuwa nikimuona kumbe alikuwa kashafukuzwa kaz duh@