Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 6,788
- 12,202
Tunamfuatilia, tutamdaka soon!
Kilimo ni kazi ngumu sana
YESU NI KRISTO.
Kilimo ni kazi ngumu sana
YESU NI KRISTO.
Huyu alivuma sana na serikali ilikua inamsapotiNipo barabarani hapa tumezuiwa kupita wananchi wamefunga barabara hapa Mbinga kwa tuhuma za kutapeliwa na tajiri mmoja aliyekuwa ananunua mahindi.
Inasemekana alikuwa anananua kwa elfu 75 na kuyauza kwa elfu 45 sasa baada ya kukusanya mzigo wa mahindi wa kutosha na kuyauza sasa kakimbia kawaachia manyoya wananchi mpaka wamefikia hatua ya kutia fujo kuandamana na kufunga barabara magari yasipite.
View attachment 1603108View attachment 1603109View attachment 1603110
Na serekali ya eneo husika ikawa inamuangalia kama zuzu tuuu!Utakuta saa hizi yupo zake Somalia au Kongo huko!Dah, Tz raha sana[emoji23][emoji23][emoji23], watu waliamini kabisa kwamba mtu anaweza nunua mahindi 75,000 then auze 45,000? Kweli? Hamna hata kujiuliza hayo ni mazingaumbwe ya wapi?
Huu ujinga mpaka uje utuishe ndo tutajua haki.zetu ni.zipi.
Tanzania kwa ujinga uliopo bado watu wapo Enzi za Mawe,
Hapa ndo ujue CCM itatawala miaka.100 ijayo mpaka kamasi zote zitakapoisha vichwani!![emoji51][emoji51][emoji51]
Mbona nilisikia alikua anatoa pesa cash , sawa kwatapeli VIP ?Nipo barabarani hapa tumezuiwa kupita wananchi wamefunga barabara hapa Mbinga kwa tuhuma za kutapeliwa na tajiri mmoja aliyekuwa ananunua mahindi.
Inasemekana alikuwa anananua kwa elfu 75 na kuyauza kwa elfu 45 sasa baada ya kukusanya mzigo wa mahindi wa kutosha na kuyauza sasa kakimbia kawaachia manyoya wananchi mpaka wamefikia hatua ya kutia fujo kuandamana na kufunga barabara magari yasipite.
View attachment 1603108View attachment 1603109View attachment 1603110
Yaani amekusanya mahindi mengi kutoka kwa wakulima kwa ahidi kuwa atakuja kuwalipa 75 halafu yeye akayauza kwa 45 kisha akaingia mitini bila kutimiza ahadiKama alikuwa ananunua kwa 75000 na kuuza kwa 45000 cjaelewa ni jinsi gani kawatapeli hao wakulima? Ufafanuz tafadhali
Wewe utakuwa ni dada jambazi!Watu wamechanganyikiwa hapa hawajaelewa watu wametapeliwaje ila wewe umeshaelewa movie nzima chap!Akili. Nyingi
Nshazeeka mie ujambazi nimewaachia vijana wanaoanza maishaWewe utakuwa ni dada jambazi!Watu wamechanganyikiwa hapa hawajaelewa watu wametapeliwaje ila wewe umeshaelewa movie nzima chap!
Hilo jizi lina akili sana. Tuseme tu ukweli ni watu wachache sana wenye huo ujasiri.Uzi wake upo hapa JF, jamaa alikuwa nanunua mahindi kwa bei ya juu sana na kisha kuyauza kwa bei ya fororo, watu walikuwa wanauliza alikuwa anapataje faida....
Wengi waliseam kuwa mahindi wanayonunua ni yake anayauza kwa mlango wa nyuma na ipo siku atawaachia mzigo wao na ataondoka na hela yao bila wenyewe kujua, naona yametimia!
Hapana mkuu sio hivo! Unapeleka mahindi yako tuseme gunia 5, unalipwa cash kabisa. Ila watu walishangaa anapataje faida wakati alikuwa anauza bei ya chini zaidi ya aliyokuwa ananunua, mf. ananunua gunia kwa sh, 70,000 kisha anauza gunia hilo kwa sh 40,000.Yaani amekusanya mahindi mengi kutoka kwa wakulima kwa ahidi kuwa atakuja kuwalipa 75 halafu yeye akayauza kwa 45 kisha akaingia mitini bila kutimiza ahadi
Alikuwa anawakopa,anakusanya anawalipa,kisha akaanza kudelay kulipa😆anakuja analipa, then mwishowe ndo kawapiga akaishiaKama alikuwa ananunua kwa 75000 na kuuza kwa 45000 cjaelewa ni jinsi gani kawatapeli hao wakulima? Ufafanuz tafadhali
Sasa kama analipa cash ametapelije watu?Hapana mkuu sio hivo! Unapeleka mahindi yako tuseme gunia 5, unalipwa cash kabisa. Ila watu walishangaa anapataje faida wakati alikuwa anauza bei ya chini zaidi ya aliyokuwa ananunua, mf. ananunua gunia kwa sh, 70,000 kisha anauza gunia hilo kwa sh 40,000.
Kuwalipa cash ilikua chambo,walipomuamini akaanza kuwakopa,kisha akalala mbele DubeyMbona kwenye ile interview yake alidai analipa cash unampelekea mzigo anakulipa hapo hapo, hii ya kulipa baada ya wiki umeipata wapi mkuu?.
Na mamlaka za Serikali zilikuwepo zinamwangalia anawatapeli wananchi. Kuna uzi humu uliwekwa kuwa huyu jamaa anafanya yake. Lakini hamna yoyote aliyemtilia shaka hadi kawaachia manyoya ndiyo watamtafuta. Hii ilikuwa DESI purely!Lilikuwa ni jambo la muda tu.
Nadhani hiyo ilikua "gia" ya mwanzoni ili ku-buy trust ya wakulungwa.Mbona kwenye ile interview yake alidai analipa cash unampelekea mzigo anakulipa hapo hapo, hii ya kulipa baada ya wiki umeipata wapi mkuu?.