Tajiri wa mahindi Mbinga, Songea awatapeli wananchi

Tajiri wa mahindi Mbinga, Songea awatapeli wananchi

Tamaa na kupenda kitonga, halafu hizi scam project mbona hata wazungu wanapigana sana huko kwao iweje ushangae ikitokea Tanzania
Nashangaa sababu kuna mahesabu mengine toka mwanzo yanaonyesha wizi mtupu. Halafu watu kama hawaoni vile
 
Kama alikuwa ananunua kwa 75000 na kuuza kwa 45000 cjaelewa ni jinsi gani kawatapeli hao wakulima? Ufafanuz tafadhali
Alinunua bei kubwa na kuyauza bei ndogo ili baadae wale waliomuuzia wamkopeshe na yeye kuyauza na kutokomea.
Mfano: Nunua gunia 1, 000*75,000=75, 000.
Uza/mkopesheni gunia 4,000*45,000=180,000,000
Tafsiri rahisi ni kuwa waliouza bei kubwa/waliojitokeza kumkopesha hatimaye wamepigwa, huku wengine wakipata hasara ya kuifadhi mahindi ambayo hata wakiyauza kwa bei ya soko watapata hasara.
 
Kuwa specific, nilisoma uzi wote, hata kabla hujanitag, sikuona jibu kwa swali hilo.

Kama una post namba iweke hapa.

Huyu jamaa amechuku mahindi ya watu na hajawalipa?

Swali hili sijapata jibu bado.
Angalia namba 93. Uzi huu huu. Anaanza kulipa cash mwanzoni mwa biashara. Anatengeneza trust......
 
Angalia namba 93. Uzi huu huu. Anaanza kulipa cash mwanzoni mwa biashara. Anatengeneza trust......
Kwa hiyo kachukua mahindi lakini hakuwalipa, siyo?

Hili limethibitishwa?
 
hamna namna ya kumroga? hahaha tapeli ni mtu mwema sana.
 
Vyombo vyetu vya usalama viko weak hivi walishindwa kumfatilia toka mwanzoni mpaka wananchi watapeliwe
 
Kuwa specific, nilisoma uzi wote, hata kabla hujanitag, sikuona jibu kwa swali hilo.

Kama una post namba iweke hapa.

Huyu jamaa amechuku mahindi ya watu na hajawalipa?

Swali hili sijapata jibu bado.
Ndio
 
Jamaa anjiamini sana. Pamoja yupo polisi anaahidi malipo kuendelea kama kawaida kuanzia kesho. Apewe muda tu.
 
Sasa tajiri mzima hawalipi watu cash on delivery,na watu wanakubali?

Yani hawakuona kipigo kinakuja hiki?
Ndio hawakujua hayo yangetokea kwa sababu wateja wa mwanzo walipewa Chao hao wa mwisho ndo ikala kwao
 
Nipo barabarani hapa tumezuiwa kupita wananchi wamefunga barabara hapa Mbinga kwa tuhuma za kutapeliwa na tajiri mmoja aliyekuwa ananunua mahindi.

Inasemekana alikuwa anananua kwa elfu 75 na kuyauza kwa elfu 45 sasa baada ya kukusanya mzigo wa mahindi wa kutosha na kuyauza sasa kakimbia kawaachia manyoya wananchi mpaka wamefikia hatua ya kutia fujo kuandamana na kufunga barabara magari yasipite.

Zaidi, soma: Tajiri wa ajabu aibuka huko Ruvuma, Bilionea Barnaba Nyoni

View attachment 1603108View attachment 1603109View attachment 1603110
Kawatapeli vipi?
 
Jambo Lolote Likijadiliwa Jamiiforums.com
Na Watu Wakatilia Mashaka Ukalazilasha Ujue Utapigwa, Hili Jambo Lilianza Kidogo Kidogo
Mbona humu JF watu wengi wamepigwa. Umeshamsahau ontario na utajiri wake wa forex. Hadi boss wa JF alichoma akaunti....
 
Back
Top Bottom