Tajiri wa mahindi Mbinga, Songea awatapeli wananchi

Tajiri wa mahindi Mbinga, Songea awatapeli wananchi

Haya ndio madhara ya kupenda dezo watanzania wanapenda mteremko sana.
 
Hizi Habari sio za kweli,jana tulikuwepo eneo la tukio,kwanza kabisa sio kweli kuwa KAWATAPELI WAKULIMA ,
La pili ni kwemba wakulima wenyewe na hasa wasiopeleka Mahindi pale walinaza kuleta fujo sababu kuna listi ya majina inaonekana Makarani wamewaingiza watu wa malipo FEKI ,jamaa hilo swala kalishtukia...
Hivyo alipotangaza utaratibu wa kugawa PESA za Malipo kikundi cha watu wachache kilitaka kuanzisha vurugu ndipo jamaa alipoomba aongezewe ulinzi na jeshi la polisi na zoezi kusimamishwa na atimaye kuahairisha polisi wakatoka nae..

Leo katoa taarifa kuwa JUMATANO watu waende wakasikilize utaratibu mpya wa kupewa malipo yao..

N.B: Tupende kuandika Taarifa zenye uthibisho kuliko taarifa zenye kuzua Taharuki hasa kwa wahusika
 
Kweli CCM itatawala milele kama mtu anaeza nunua 75 auze 45 n nini hcho
 
Duu
 
Dah, Tz raha sana😂😂😂, watu waliamini kabisa kwamba mtu anaweza nunua mahindi 75,000 then auze 45,000? Kweli? Hamna hata kujiuliza hayo ni mazingaumbwe ya wapi?

Huu ujinga mpaka uje utuishe ndo tutajua haki.zetu ni.zipi.

Tanzania kwa ujinga uliopo bado watu wapo Enzi za Mawe,

Hapa ndo ujue CCM itatawala miaka.100 ijayo mpaka kamasi zote zitakapoisha vichwani!!😬😬😬
Ndiyo elimu bure hiyo ya Magu. Ole wako mwanafunzi afeli. Elimu ya makaratasi. Siyo elimu ya kuelimika. Sasa wanatapeliwa kiboya namna hiyo!
 
Alikuwa anayakusanya then anawalipa hela baada ya wiki sasa awamu ya mwisho hii alikusanya kwa muda mrefu then kayauza halafu kalamba mbele
jamaa alikua na hesabu kali!! Aliwazidi akili..na huwa ndo akili za kitapeli zinafanya kazi!! Akili za kitapeli huwa zinawahi kuona dhahabu kabla watu hawajastuka😀
 
Vimeshaumanaa hukoo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nakupa historia huyu alikuwa askari magereza alifukuzwa kazi mwaka juzi kwa tabia hizi waulize watu wa mpanda na sumbawanga kawaliza sana watu.
 
Huyu kijana tabia zake hata akikamatwa hatafanywa kitu chochote watamuweka lokup theni kesi itaisha tu kienyeji mganga aliempa dawa hiyo yupo ni kwa kazi hiyo hiyo
 
Back
Top Bottom