secret file
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 5,839
- 8,652
Kwa hiyo waache kudai hela wakaangalie Nigerian Prince kwanza!?Angalieni movie moja inaitwa Nigerian Prince, mtajifunza kitu.
Kwa hiyo waache kudai hela wakaangalie Nigerian Prince kwanza!?Angalieni movie moja inaitwa Nigerian Prince, mtajifunza kitu.
Tamaa na kupenda kitonga, halafu hizi scam project mbona hata wazungu wanapigana sana huko kwao iweje ushangae ikitokea TanzaniaWatanzania sijui wanafikiria kwa kutumia nini? where on earth could that be possible in business?
Tafadhali tuunganenimebaki mimi kuwapiga mpunga wa maana watanzania.
Comment namba ngapi? Comment ziko nyingi hapa.Soma comment yangu utapata majibu Mimi ni wa huko huko najua uyo jamaa alivyokuwa anafanya watu walihamia huko had kuuza migahawa kutokana na population iliyokuwa ikifurika huko yani ilitokea hadi migration
Alianza kwa kulipa Cash, yaani kama Mr. Kuku tu wa mwanzo walifaidi. Baadae akaanza kuchelewesha malipo kwa siku tatu, wiki, wiki mbili mwisho sa hivi ameamua kuwacheleweshea milele.Mbona kwenye ile interview yake alidai analipa cash unampelekea mzigo anakulipa hapo hapo, hii ya kulipa baada ya wiki umeipata wapi mkuu?.
Mpaka.kwenye.dini,Makanisani.hukoSiku zote Maskini ndiye anayeumia
Kasome uzi wote pamoja na comments zake utaelewaNimeuona uzi ila haujajibu swali langu.
Kawatapeli kivipi?Kachukua mahindi halafu hajawalipa?
Duh milele tena hahahahahahAlianza kwa kulipa Cash, yaani kama Mr. Kuku tu wa mwanzo walifaidi. Baadae akaanza kuchelewesha malipo kwa siku tatu, wiki, wiki mbili mwisho sa hivi ameamua kuwacheleweshea milele.
Ulitegemea ajitangaze kuwa ananunua kwa Mali kauli? He angepata Wadanganyika wengi?
Kuwa specific, nilisoma uzi wote, hata kabla hujanitag, sikuona jibu kwa swali hilo.Kasome uzi wote pamoja na comments zake utaelewa
Aliyanunua kwa malikauli akawa anayauza na kuahidi kulipa baadae. Kumaliza mzigo akasepa zake kusikojulikana.Kama alikuwa ananunua kwa 75000 na kuuza kwa 45000 cjaelewa ni jinsi gani kawatapeli hao wakulima? Ufafanuz tafadhali