Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 12,079
- 22,432
Ni ujinga tu hujawashika live wakizombana kitandani kwanini uwachape risasi. Hata kama ungewakuta live kwanini usi deal na mke wako u ana deal na mwanaume mwenzako.
Utachapa wanaume wangapi risasi kisa mke wako
Utachapa wanaume wangapi risasi kisa mke wako
Tajiri hana baya unaingiliaje ugomvi wa wanandoa na bado unailoweka kabisa
Chapa moja ya bega kmmk wamebadilishana majengo ya serikali
Wanawake michosho sana.
By the way ni ujinga sana kupigana kisa wanawake
Unamkuta mke mwenyewe ulipomuoa umekuta kashatumika
Kama wewe bingwa watafute waliombikiri na kumtomba kisawasawa mkeo akiwa kwenye ubora wake kabla yako
Temba ngachoka, ngichokie kapisa lanye..