Duc in altum
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 1,549
- 2,845
Miradi mingi mikubwa hasa iliyo kamilika na mingine inacheleweshwa kwa makusudi ili kusubiri uchaguzi ufike 2025 ndio mama yao aizindue na kujipa ujiko kama vile yeye ndio muanzishaji?
Bwawa la Mwalimu Nyerere - hili bila kelele za kila siku za watu na migomo ya TANESCO kukata umeme kila baada ya dakika tano ambao walijua fika bwawa limeshakamilika lakini wanasiasa hawataki lifanye kazi mpaka 2025 hata motor moja isingekuwa imewashwa sasa hizo nane mpaka uchaguzi ndiyo ziwashwe.
Daraja la Magufuli,
Mradi wa maji Mwanza,
Masoko yote makubwa Mwanza,
Endeleza list