Taja kitu kimoja kizuri ambacho ex wako alikuwanacho

Taja kitu kimoja kizuri ambacho ex wako alikuwanacho

Daaah wangu bwana alikuwa mlokole chuo aiseee yule mtoto namkumbuka sana Beatha yaan Byanca daah, yule mtoto alikuwa anapenda sana Dini aisee na alikuwa hakosi Kanisani ila sasa alikuwa mikononi mwangu na nilishamuonjesha asali, sasa kitu ambacho sitamsahau alikuwa tukimaliza sex analiaaa sanaa na kusema tumemkoseaa Mungu anaanza kupiga magot na kutubu, roho ilikuwa inaniuma sanaa aisee, all in all ye mkristo mie muslim mwishowe kila mtu akashila hamsin zake ila kiroho safi .
Kaka hahahahahahhahhaha kaka angu wewe hadi huku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Madolali yake tuu,.ila c kwa wivu ule hadi washroom nakua na siku jamanii khaa!!!
 
My ex boy bhana alikua na ile sauti nzitooo yani akiongea tu kiroho changu kwatuuuuu ....akiongea kwa cm sasa na ile kubebisha uuuuwiiiii sisemi ......ntamkumbuka sana mjeda wangu yule[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upambavu ... Alikuwa mpumbavu ambae sijawahi ona hapa duniani! .... Mungu nisamehe
 
Back
Top Bottom