Taja kitu kimoja kizuri ambacho ex wako alikuwanacho

Usafi!alikuwa na pichu nyeupe tupu,na alikuwa akiiva asbh akirudi kazini anaifua asbh anavaa nyingine dah!ila kwny yale mambo yetu ni mzito!!
 
Alikuwa na bonge la machine ziri sana na alikuwa mzuri sana katika kupiga mizinga, mteremko, marioo. Nayo ni kitu kizuri pia
 
Niliwahi pata mpale mmoja hivi yaani huwa najuta kiukweli
Yule dada alinipenda jamani nikisema kupendwa nikupendwa kweli yaani dah
Alikuwa akija geto tunapiga Show safi kabisa
Anafua nguo zote anapasi nguo za wiki nzima
Akimaliza anapika tunakula yaani dah
Kuna wakati nilikuwa mvivu wa kurekebisha room akawa ananunua mashuka kwa hela zake maskini analeta anayatandika
Mwenyewe niko busy na misele tu nikirudi nakuta geto limebadilika kusafi balaa
Halafu nina kabarua kizuri yeye mwalimu wa shule fulani hivi pale dar
Kisa cha kutomjali ni kwasababu nilikuwa kwenye uchumba na mmeru mmoja hivi na alikuwa yuko masomoni nje ya nchi
Alikuja niacha yule Dada mpaka leo huwa namkumbuka sana alistahili kabisa kuwa mke wangu
Mmeru mwenyewe matokeo yake akaja zingua uchumba ukavunjika nyoko zake
Yaani kwakweli huwa namkubuka sana yule dada licha ya kwamba nilishaga oa
She was the best woman i meet
Anajua kutunza hela mwenyewe yaani acha tu
 
Mara nyingi watu wanapokuwa wanazungumzia ma ex wako, huwa wanawazungumzia in a bad light. Mara utasikia wakisema ex wao alikuwa mchoyo, katili, hajui kucare, machafu, mbahili, muongo, mchunaji n.k

Mara chache sana utasikia mtu akimzungumzia ex wake in a good light, e.g ex wake alikuwa mpole, mkarimu, anajua kuonyesha upendo, ana heshima n.k

Sasa leo jaribu kutaja atleast kitu kimoja kizuri ambacho ex wako alikuwa nacho. Name one good thing about your ex. Lets discuss...
pesa pesa pesa
 
Alikuwa msafi aisee,,, niliwahi kumwagia azam embe kwenye papuchi yake nikailamba yote.
 
Aiseee mimi wangu wamwisho kabla sijaoa nilimdhulumu sana. Maisha magumu ya chuo yalinifanya niwe nae maana ndio alikuwa kitega uchumi changu. Akanihudumia everything, almost everything. Mpaka kadi yake ya bank nlikuw nayo mimi.Mwishoni mwishoni alikuja kugundua kwamba namzingua ila kibishibishi nkamzuga akatulia. Kwa kweli nlimdhulumu sana yule dada ila ilinibidi. Nlimuomba msamaha though ila hakunisamehe, natamani nimsaidie kama anamatatizo. Alinisaidia sana chuoni kwa kweli. Z popote ulipo nakiri nlikukosea sana na naomba unisamehe, ilinibidi kufanya vile aiseeee. Kama upo humu JF na unahisi kuna namna yoyote ile naweza kukusaidia please usisite kuniambia. Kukupa tu clue, Nlikufanyia research yako wakati upo SAUT. Ndio mimi na hii fake ID yangu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom