Black Coffee
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 1,937
- 3,200
Mhuu not real kwa kweli ,,,jina lisikuchanganye mkuuHahahahahah sema nawe tatizo Ganja.....gal
Mhuu not real kwa kweli ,,,jina lisikuchanganye mkuuHahahahahah sema nawe tatizo Ganja.....gal
Kuna kosa hapo kwenye saikolojia ya mapenzi,hakuna mapenzi bila kuvumiliana na kusaidiana kutambua udhaifu wenu.Kama hamtajua tayizo ni nn,itafika siku,mnaachana huku mnapendana,vyema kati yenu awepo kiongozi wa kutambua mazuri na mabayaDhuuu!!! Na ww hata kujishusha
uponeshe penz
Wote mkawa wababe kama
Wakulima vs wafugaji
Kwann ulimwacha kama mtam?Mtamu sanaa
Kwann mliachana wakati ni tamu?Ilikuwa tam saana sijui alikuwa anaweka kitu gani....
Kwann uliachana naye?Alikua mzuri na mstaarabu,shepu balaa ana mavi
Sasa Kwanini mliachanaAlikuwa na hela, mbili alikuwa anajua Ku-care, out za kila weekends na zimiss
Habari. Nini kilitokeaAlikuwa na hela, mbili alikuwa anajua Ku-care, out za kila weekends na zimiss
Na ilikutambuana lazmaKuna kosa hapo kwenye saikolojia ya mapenzi,hakuna mapenzi bila kuvumiliana na kusaidiana kutambua udhaifu wenu.Kama hamtajua tayizo ni nn,itafika siku,mnaachana huku mnapendana,vyema kati yenu awepo kiongozi wa kutambua mazuri na mabaya
Na ndo saikolojia yake ni sawa na kuwa na mtoto,kuna wakati uishi maisha ya kitoto,kutomnyanyasa mtoto kisaikolojia nia ni kiwa karibu naye,kama kumsikiliza hoja zake za kiyoyo,kucheza naye,kula naye,kunywa naye,na pia kumsaidia hata kama kafanya jambo lisilo la maana.Na ilikutambuana lazma
Mmoja ajishushe