Kwa vijana wa maeneo ya Tabata Magengeni nadhani watakuwa wanazipata vizuri hizi:
1. Bibi Erah
2. Mwendemunu
3. Kanunu
Karibuni jamvini wadau.
Unamaanisha nini?Hii ni forum ya Mapenzi na wala sio ya Elimu n.k, hujalazimishwa kucomment!!
Kama hujaelewa mada, ipitie pembeni.
Sasa itakusaidia nini ukijua?
Unazidiwa akili na Bwakila!
Unamaanisha nini labda?Watu wengine bhana mnatabu kwelikweli
Kuna fununu kuwa ni za Alfred TibaiganaBasi zitakua zipo nyingi.
Kivipi?Mbona statement iko very clear?!
Kuwa makini mkuu, kuna muda njoo humaanisha nenda.
Kwa vijana wa maeneo ya Tabata Magengeni nadhani watakuwa wanazipata vizuri hizi:
1. Bibi Erah
2. Mwendemunu
3. Kanunu
Karibuni jamvini wadau.