Taja Guest/Lounge uliyowahi/ulizowahi kuhudhuria (Include na Location iliyokuwepo)

Nimeona Bibi Errah nikashtuka si iko mbozi hii mkuu? Basi naongeza hapo Kwa upande wa mbozi

1.Mkulima
2 . Champion
3. Suma lodge
Kwa vijana wa maeneo ya Tabata Magengeni nadhani watakuwa wanazipata vizuri hizi:

1. Bibi Erah
2. Mwendemunu
3. Kanunu

Karibuni jamvini wadau.
 
Halafu ni kwa nini majina ya hizi Guest au Lounge huwa na majina magumu magumu sana??
 
mammilo inn, indonesia lounge, safari guest, miyanuni lounge dah nyingine nimezisahau aisee ni nyingi mno
 
Mzee baba hizo mimi sizifahamu mana mimi sipo maeneo hayo ungenambia maeneo ya kimara hapa kazikazi
Kwa vijana wa maeneo ya Tabata Magengeni nadhani watakuwa wanazipata vizuri hizi:

1. Bibi Erah
2. Mwendemunu
3. Kanunu

Karibuni jamvini wadau.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom