Taja Guest/Lounge uliyowahi/ulizowahi kuhudhuria (Include na Location iliyokuwepo)

mbagala... mbagala live ldg
banana..... banana ldg
ubungo...... MIC hotel na Kagame hotel

hizo ndio sehemu hua nahudhulia nikiwa na mateka
Kuna KIBADAMO LODGE ni nzuri sana hasa ukipata vile vyumba vya jengo la Pili ambapo hamna lift, ukiwa na mateka wako mnafungua madirisha mnapata hewa nzuri huku mki-view ubungo bus stand, ni Tsh 30,000 tu.

MIC Hotel ni nzuri kwa vyumba vya Tsh 40,000 na kuendelea, nina mateka wangu anatokeaga Korogwe huwa namchakaza hapo. Kagame papo vizuri, mnaweza jifungia humo mkala raha tu. Shida reception watu wengi
 
ila MIC waliniudh siku moja nipo na mateka wangu nikalipia room ya bei ndefu ile kuingia ndani

1. switch ya AC wameficha nyuma ya fridge
2. Jakuzi halina vizibo maji yanapitiliza,

nilipiga simu reception mhudumu alipokuja almanusura achezee vitasa, pumbaf sana.
 
chalinze g/house. Mbwewe guest house, sangasanga jeshini g/house, korito rest house
 
Hii sima iko wapi?
1.Dodoma - mambo leo & Summit
2. kibondo - Cheyo & Sweedish &Kalembe
3.Kasulu - Highway @ Jerusalem & Suma
4. Makere - Safia
5.Biharamulo - Robert
6.Kahama - SM and Royal
7.Arusha - Deluxe (ipo karibu na shivaz)
8.Tanga - New safari lodge
9. Kibaha - Sima lodge
10. Songea - Half london
11.Makambako - kwa mzee abeid
12.Mbeya - Mwasa lodge

Hizo ni kwa uchache Saaana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1,2,3&6 Visitor's Book nishaishika pia.Ila mwamba wewe ni Vladimir kabisa.
Grand penta,Ristalem _Tabora
SAMAI,CHINESSE_Dodoma.
ZM,HILTOP,EDEMA_Moro
Zanzibar,Gombe,Green view,_Kigoma.
1.Dodoma - mambo leo & Summit
2. kibondo - Cheyo & Sweedish &Kalembe
3.Kasulu - Highway @ Jerusalem & Suma
4. Makere - Safia
5.Biharamulo - Robert
6.Kahama - SM and Royal
7.Arusha - Deluxe (ipo karibu na shivaz)
8.Tanga - New safari lodge
9. Kibaha - Sima lodge
10. Songea - Half london
11.Makambako - kwa mzee abeid
12.Mbeya - Mwasa lodge

Hizo ni kwa uchache Saaana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
DS Hotel- karibu na Chang'ombe polisi kama unaenda sokota.

Bei 25,000/= tu room kali safi sana. Service zipo poa. Nikiwa na mateka wangu siachi kuwapeleka hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzi juu ungekuwa Poa sana Kama ungesomeka “Lodge nzuri za kulala uwapo safarini”
 
Mimi sijatoka nje ya Temeke
Mali lodge - Tandika
Kifaru lodge - Tandika
Mtongani pale jina limenitoka
 
Back
Top Bottom