Taja Guest/Lounge uliyowahi/ulizowahi kuhudhuria (Include na Location iliyokuwepo)

mbagala... mbagala live ldg
banana..... banana ldg
ubungo...... MIC hotel na Kagame hotel

hizo ndio sehemu hua nahudhulia nikiwa na mateka
Mkuu mbagala live lodge naipata hii, vp gharama zake zpoje? Na vipi huduma zao mazingira ya ndan nk
 
Kuna moja ina geti jeusi..ukishuka tu pale barracuda..fata ile lami kama unaenda njia ya vingunguti
Kwa vijana wa maeneo ya Tabata Magengeni nadhani watakuwa wanazipata vizuri hizi:

1. Bibi Erah
2. Mwendemunu
3. Kanunu

Karibuni jamvini wadau.
 
Enzi za kufanya uhuni nimechafua guest house/lodge nyingi mnoo na hotel kadhaa!!

Cha kufurahisha zaidi pale kwenye kitabu nilikuwa najaza tarifa za marafiki zangu!! Naandika jina lake la ukweli kisha naandika na a.k.a yake km jina la ukoo, Niliwajza mpaka nikawa nawarudia!! Namba ya simu nilikuwa naweka ya swahiba wangu eng. John kisomo

Kuanzia mbagala, temeke, banana, kinondoni, magomeni, kariakoo, ilala,temeke, kigamboni, ubungo, sinza, morogoro,mwanza,tabora n.k...
 
Duuh!!!!!
 
Mkuu usijekuta uliwahi kuandika hadi jina langu?
 
1.Dodoma - mambo leo & Summit
2. kibondo - Cheyo & Sweedish &Kalembe
3.Kasulu - Highway @ Jerusalem & Suma
4. Makere - Safia
5.Biharamulo - Robert
6.Kahama - SM and Royal
7.Arusha - Deluxe (ipo karibu na shivaz)
8.Tanga - New safari lodge
9. Kibaha - Sima lodge
10. Songea - Half london
11.Makambako - kwa mzee abeid
12.Mbeya - Mwasa lodge

Hizo ni kwa uchache Saaana
 
Kwa vijana wa maeneo ya Tabata Magengeni nadhani watakuwa wanazipata vizuri hizi:

1. Bibi Erah
2. Mwendemunu
3. Kanunu

Karibuni jamvini wadau.
vijana wa moshi , tulikuwa tunapigia mademu pale VUNJO GUEST house, watoto wa weruweru na kibosho girls
 
1.Dodoma - mambo leo & Summit
2. kibondo - Cheyo & Sweedish &Kalembe
3.Kasulu - Highway @ Jerusalem & Suma
4. Makere - Safia
5.Biharamulo - Robert
6.Kahama - SM and Royal
7.Arusha - Deluxe (ipo karibu na shivaz)
8.Tanga - New safari lodge
9. Kibaha - Sima lodge
10. Songea - Half london
11.Makambako - kwa mzee abeid
12.Mbeya - Mwasa lodge

Hizo ni kwa uchache Saaana
Mkuu sehemu zote hizi umefika au umeorodhesha tu?
 
1.Dodoma - mambo leo & Summit
2. kibondo - Cheyo & Sweedish &Kalembe
3.Kasulu - Highway @ Jerusalem & Suma
4. Makere - Safia
5.Biharamulo - Robert
6.Kahama - SM and Royal
7.Arusha - Deluxe (ipo karibu na shivaz)
8.Tanga - New safari lodge
9. Kibaha - Sima lodge
10. Songea - Half london
11.Makambako - kwa mzee abeid
12.Mbeya - Mwasa lodge

Hizo ni kwa uchache Saaana
Nanukuu
^kwauchache saana
 
Back
Top Bottom