hii point haiendani na umri wako
kama uongozi wanchi ungepangwa kama timu ya mpira wamiguu, mimi ni hawa:
1. Salim Ahmed Salim (Dr) --- Rais
2. Wilbroad Slaa (Dr) - Vice President
3. John Magufuli - PM
4. Freeman Mbowe - Fedha
5. Asha Rose Migoro - Foreign
6. Tindu Lissu - Katiba
7. Halima Mdee - Home Affairs
8. Joseph Mbilinyi - Utamaduni na Michezo
9.Lembeli Jamees - Utalii
10. Mwakyembe - Nishati na Madini
11. Kabwe Zitto - Ulinzi na JKT
Ni mtazamo tu
Bila utawala wa sheria ndani ya CCM hakuna anayetufaa Tanzania,labda Dr. SLAA wananchi tuna imani.
kama uongozi wanchi ungepangwa kama timu ya mpira wamiguu, mimi ni hawa:
1. Salim Ahmed Salim (Dr) --- Rais
2. Wilbroad Slaa (Dr) - Vice President
3. John Magufuli - PM
4. Freeman Mbowe - Fedha
5. Asha Rose Migoro - Foreign
6. Tindu Lissu - Katiba
7. Halima Mdee - Home Affairs
8. Joseph Mbilinyi - Utamaduni na Michezo
9.Lembeli Jamees - Utalii
10. Mwakyembe - Nishati na Madini
11. Kabwe Zitto - Ulinzi na JKT
Ni mtazamo tu
- Mwalimu the greatest alitusaidia kutufanya huru, lakini the rest ni debatable, naomba unishawishi zaidi kwamba Dr. Slaa anafaa kuwa Rais wa kulisaidia hili taifa zaidi ya wengine, kwa mfano unasema ndiye aliyetufunua kuhusu mafisadi ambao mpaka leo hakuna aliyefikishwa kwenye sheria, Dr. Slaa anao ushahidi wa kutosha kwa nini asiwapeleke kwenye sheria kwa jina la wananchi? I mean Mch. Mtikila siamini kwamba ana uwezo wa kuwa Rais, lakini kwenye hili la kwenda kwenye sheria na ushahidi anaonekana kuwa na ubavu zaidi,
- Sasa je tutaendelezwa na Rais asiyesimama kuona sheria inatendeka?
Willie @ NYC, USA.
Kwa mandate ipi kwa sasa? Vyombo kama PCCB,DPP na Polisi wametajiwa kila kitu na bado hawachukui hatua...kuhusu KAGODA yule mwanasheria alishasema aliitwa na Rostam KUFANYA KIAPO...Mbona PCCB hawamkamati Rostam?........unataka Slaa atumie mikono yake na wafuasi wake kumkamata Chenge? Si mtasema ni kuleta machafuko kama kawaida yenu CCM?....still with respect Bill
- Mkuu wa JF, Dr. Slaa ndiye champion wa mafisadi ni mandate aliyojipa mwenyewe na kukubalika na taifa na Dunia nzima, tunaongelea ujasiri wa kupigana na ufisadi sasa ujasiri ni nini? Kuwafikisha mafisadi kwenye Sheria, lakini kama ameshindwa na bado anaweza kuwa Rais mzuri sawa inaeleweka!
Willie @ NYC, USA.
sio wachagaa wote ni chadema ingefaa zaidi- Tunaaangalia viongozi sio vyama vyao, sio CDM yote ni Wachagga na sio CCM yote ina wezi, ni common sense tu kidogo!
Willie @ NYC, USA.
mkuu nakubaliana na wewe kwa 100%,majina hayawezi kuwa hoja ktk mfumo mmbovu.kama hoja ya baadhi ya wachangiaji ni mtu kutoka CCM,basi vema mfumo wa CCM ubadilishwe(kujivua gamba la kweli) otherwise mpaka sasa Rais wa kweli anayetufaa yuko upinzani na wala si CCMHakuna haja ya kupoteza muda,kwa kifupi ni kwamba Taifa linahitaji chama mbadala kwa sasa.Miaka 50 ya utawala wa CCM kwa Taifa hili unatosha.Majina si hoja hapa.Nani alikuwa na sifa na jina zuri kama tuliye naye wakati anapendekezwa 2005? Kwa kifupi CCM ina mchoko wa mawazo na imechakaa,inahitaji chama mbadala.Tuache propaganda zisizo na maana kwa Taifa letu.Huyo Mwakyembe anaweza akawa kiongozi asiyefaa kuliko tulio nao sasa.Tatizo kubwa ni chama kilichochoka.
- Mwalimu the greatest alitusaidia kutufanya huru, lakini the rest ni debatable, naomba unishawishi zaidi kwamba Dr. Slaa anafaa kuwa Rais wa kulisaidia hili taifa zaidi ya wengine, kwa mfano unasema ndiye aliyetufunua kuhusu mafisadi ambao mpaka leo hakuna aliyefikishwa kwenye sheria, Dr. Slaa anao ushahidi wa kutosha kwa nini asiwapeleke kwenye sheria kwa jina la wananchi? I mean Mch. Mtikila siamini kwamba ana uwezo wa kuwa Rais, lakini kwenye hili la kwenda kwenye sheria na ushahidi anaonekana kuwa na ubavu zaidi,
- Sasa je tutaendelezwa na Rais asiyesimama kuona sheria inatendeka?
Willie @ NYC, USA.
- Salaam wananchi wenzangu,
kuelekea uchaguzi wa 2015 ni muhimu sana wananchi tukaanza sasa kujadili wanaotufaa kwenye nafasi za uongozi wa juu yaani Rais na Mawaziri, na sababu; wasiotufaa pia tuwaambie kwa lugha ya Black and White yaani the truth bila kuchanganya maneno! na tujali Taifa kwanza vyama baadaye!
- Tanzania sio taifa la mtu mmoja au kikundi flani tu na tuanze kuambiana ukweli kuanzia sasa mapema sana ili maviongozi magoi goi waanze kujifikiria mapema kama wapo kwenye the right field au wajiondoe wenyewe, maana ninakatishwa tamaa sana na baadhi ya majina ya wanaotajwa kujipanga kuchukua fomu hasa za Urais 2015!
- Nani wanafaa na nani hawafai na sababu?
- Mungu Aibariki Tanzania!
William @ NYC, USA.
- Dr. Harrison Mwakyembe; anafaa sana kuwa Rais, au Waziri Mkuu 2015, hana uoga wa kusema ukweli, ni msomi, mtendaji na muadilifu na pia mfuatiliaji na anaheshimu sana Sheria.
- Ninasema anafaa sana!
Willie @ NYC, USA.
Mkuu mada hii naona huwa huiachi miaka yote unaipenda hahaha poa lakini wacha wachambuzi wakupe maneno yao juu ya Slaa naona wewe umsema huelewi maana ya kuwajali wananchi kwa Slaa .
hapo penye red, naamini hulitakii mema taifa letu
wewe lazima utakua nawazimu au umetumwa. Watu wanaongea mambo ya msingi wewe unaleta udini wako na masihara,nenda kwenye jukwaa la mipasho sio humu.nyie ndo wale watanzania wachache hasara kwa taifa letu.ukute maisha yako magumu tu lakini unashabikia upuuzi wa udini.dr slaa hafai kwa sababu zifuatazo:
Nchi hii moja ya misingi yake ni kuwa haina dini ila watu wake wana dini.
Pili msingi mwingine ambao huwa ina uenzi ni kutokuchanganya dini na siasa.
Kutokana na misingi hiyo slaa hafai kuwa kiongozi wa kitaifa,kwani basically knowledge yake ni ya kiroho, watu wa itikadi tofauti na yake hata siku moja hawawezi kuwa na imani naye. Dr slaa wakati ni katibu mkuu wa baraza la maaskofu alihusika kutengeneza mkata feki ujulikanao kama mou kujiharalishia wao kama kanisa kujichotea pesa za watanzia wote pesa zinazokusanywa bila kuzingatia imani fulani wao wakawa wanazichot(nawanaendelea)kuliendeleza kanisa peke yake bila kuona kama upande wa pili nao wana haki katika hizo pesa. Achana na slaa kuchangia kuharibu ndoa ya mtu na kujisogezea mke wa mtu hana sifa za kuliunganisha taifa.