Taharuki Kariakoo. Moto unawaka

Taharuki Kariakoo. Moto unawaka

waliosimama kwenye barabara za brt wang'olewe miguu

[~pogba's voice]
 
Daaah nmepita hapo sasa hivi, nilikuwa kwenye hiyo gari ya mwendokasi.. Daaah This is Information Age.
Yaani nimeingia tu JF imoo tayar taharifa.
 
waliosimama kwenye barabara za brt wang'olewe miguu

[~pogba's voice]
 
Wnaume dar bwana moto wa kuzimwa na mwanafunzi wa shule ya msingi mnasubiri fire waje kuzima
moto wa umeme huizimwi kama hivyo unavyojua wewe angalia utapotea acha kukariri
[HASHTAG]#NipoMkoani[/HASHTAG]
 
Nimegundua wengi walio comment ni vilaza hawajui kitu waya wa umeme umekatika una umeme na ulikuwa una ungua/unawaka huo waya huwezi kumwagia waya wenye umeme maji au ukaja kuzima na kisigino kama kilaza mmoja alivyosema hii jf haina maana tena imevamiwa na vilaza
 
Kamoto kadogo tu watu wamefika kimara wanakimbia,.. Wanaume wa Dar mbona waoga hivi...
 
Acheni Dharau.Mnatusimangia waume zetu wa Dar.Njooni ninyi.basi muuzime.Umeme una mwanaume wa Dar au wa mkoani?Mtuwacheee Na waume zetu marijari!
 
C mnasemaga kila mtu abebe mzigo wake, utanzania unaaanza kupungua taratibu
 
Nimegundua wengi walio comment ni vilaza hawajui kitu waya wa umeme umekatika una umeme na ulikuwa una ungua/unawaka huo waya huwezi kumwagia waya wenye umeme maji au ukaja kuzima na kisigino kama kilaza mmoja alivyosema hii jf haina maana tena imevamiwa na vilaza
blaza mboni povu! wa Dar nini!
 
wanaume wa dar wana ujasiri wa kutongoza tu, moto wanausikia jikoni, nafikiri wengine wanamaliza hata mwaka hawajauona
 
Back
Top Bottom