Taharuki Kariakoo. Moto unawaka

Taharuki Kariakoo. Moto unawaka

Nimegundua wengi walio comment ni vilaza hawajui kitu waya wa umeme umekatika una umeme na ulikuwa una ungua/unawaka huo waya huwezi kumwagia waya wenye umeme maji au ukaja kuzima na kisigino kama kilaza mmoja alivyosema hii jf haina maana tena imevamiwa na vilaza
Watever ila. Mchanga kiganja kimoja tuuu ni enough kuuzima sio mpk waje zimamoto
 
Ahaaaa bhana zimeni moto huo mbona kidogo,?Post zingine sio.
hiyo haiwez tokea sehem nyingine zaid ya dar[emoji16].
Mwagieni hata udongo basi.
Wanaume wa daresalama
Mnazingua Sana
Wanaume wa Dar kazini.
Madogo walilitetemesha jiji,saa 12 milango yote ishafungwa.
Kamoto hako sisi wanaume wa mikoani tunakazima kwa kupuliza tu na mdomo, hakana tofauti ma tule tu moto twenu twa kwenye keki za birthday
Aibu kwa wanaume WA Dar
 
Hawa wanaume wa dar wametoka ulaya au huko huko mikoani ambapo mnakuja udsm mnazamia?

Wametoka huku sikatai, ila wakifika huko wanakua wa huko huko hata wakirudi kutusalimia wanaongea lafudhi ya Dar which is very boring.
 
Waya wa umeme umekatika lami inawaka moto hakuna msaada, shughuli zasimama.
055403d50ed3628283a83c878afceefa.jpg


b7d955e2e72c674292b659dd370faece.jpg


d8642bf686ae11e0e1748ca9bbf7b0d5.jpg



Stay tuned....

Updates:
Fire walifika kwa wakati, lakini hawakuwa na msaada wowote kwa sababu moto ulikuwa wa umeme. Hivyo walilazimika kusubiri mpaka TANESCO wafike.
Nawapongeza fire kwa kuitikia wito wa dharula na pia nimeona jeshi lenu lina na asikari wazungu, sikujua kama ni waajiriwa au la. Ningependa kujua zaidi.

Lakini pia wachangiaji wengi wanapeleka lawama kwa wanaume wa Dar. Jamani huu moto ulikuwa wa umeme, umeme haumjui mwanaume wa mkoani wala wa dar.

Tunashukuru hakuna madhara makubwa yaliyotokea.
haa haaa haaaaa nilijua tuu lazima tulaumiweee😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀🙁
 
haa haaa haaaaa nilijua tuu lazima tulaumiweee😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀🙁
Kumbe ndo nyie
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Yaani hizi comments!!
 
Semeni kama mnataka msaada mi ndo naingia dar natoka zangu Mwanza
 
Back
Top Bottom