Taharuki Kariakoo. Moto unawaka

yello masai

JF-Expert Member
Jan 8, 2016
3,634
3,658
Waya wa umeme umekatika lami inawaka moto hakuna msaada, shughuli zasimama.
055403d50ed3628283a83c878afceefa.jpg


b7d955e2e72c674292b659dd370faece.jpg


d8642bf686ae11e0e1748ca9bbf7b0d5.jpg



Stay tuned....

Updates:
Fire walifika kwa wakati, lakini hawakuwa na msaada wowote kwa sababu moto ulikuwa wa umeme. Hivyo walilazimika kusubiri mpaka TANESCO wafike.
Nawapongeza fire kwa kuitikia wito wa dharula na pia nimeona jeshi lenu lina na asikari wazungu, sikujua kama ni waajiriwa au la. Ningependa kujua zaidi.

Lakini pia wachangiaji wengi wanapeleka lawama kwa wanaume wa Dar. Jamani huu moto ulikuwa wa umeme, umeme haumjui mwanaume wa mkoani wala wa dar.

Tunashukuru hakuna madhara makubwa yaliyotokea.
 
Ni vyema tujipime katika kudhibiti mambo ya dharura kama haya.
 
Nadhani hapo Tanesco ndo wanahusika ila kwa kutokulikuza tatzo ingebidi hao watazamaji watafute hata mchanga waupunguze nguvu...
 
Back
Top Bottom