mimi mkali
JF-Expert Member
- Dec 14, 2012
- 1,794
- 1,572
Hata panya road ni machalii wadogoo[emoji23].Dar kuna vitukoooMbona kamoto kadogo namna hiyo kanasimamisha shughuli
Hata panya road ni machalii wadogoo[emoji23].Dar kuna vitukoooMbona kamoto kadogo namna hiyo kanasimamisha shughuli
Hahahahamboni ka moto kenyewe kadogoooo kama ka ku chomea bukulwa (viazi vitamu)
Tumeisha udhibiti jamani msitushambulie.Wnaume dar bwana moto wa kuzimwa na mwanafunzi wa shule ya msingi mnasubiri fire waje kuzima
Haaaaa haaa kweli kabisa, Yan wanaume WA Dar funga kaziKabisa mkuu, mi nadhani inafaa ipite sheria WANAUME WOTE wa DAR waende DEPO JKT kidogo.
Wanatutia aibu.
Kaka, huo waya unaouona mdogo,nguvu ya Umeme uliobeba unaweza kuteketeza mtaa mzima endapo hautozimwa mapema na Tanesco.Mbona kamoto kadogo namna hiyo kanasimamisha shughuli
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]yaani ka moto hako ningekuwako mimi hapo natupiamo tuviazi twangu tuwili fasta halafu nauzima na kisigino
Huko hawaishi watanzani????Ungewaka Lumumba ingekuwa habari njema sana!
Zimeni moto huo acheni kulialia
ha h hah ahaaaa ngoja wakusikie wenyewe 😀😀😀😀Hivi wanaume WA Dar wana matatizo gani jamani, mbona wako hivo
Madogo walilitetemesha jiji,saa 12 milango yote ishafungwa.Hata panya road ni machalii wadogoo[emoji23].Dar kuna vitukooo
Watanzani ni Raia wa taifa lipi?Huko hawaishi watanzani????
Mwagieni hata udongo basi.Zimeni moto huo acheni kulialia
hiyo haiwez tokea sehem nyingine zaid ya dar[emoji16].Madogo walilitetemesha jiji,saa 12 milango yote ishafungwa.