Taharuki Kariakoo. Moto unawaka

Taharuki Kariakoo. Moto unawaka

Ndio mkuu japo me sipendi maana wenzangu wanaishia kupiga mapicha tuu na kunyoosha vidole. Ila me ningekuwepe ningelichukuwa mamuchanga namwagia pale moto itasima tuu aisee
Acha ushamba.moto wa umeme hauna ujuaji.utakufa bure.wenzako hao hata umeme.hawaujui.ndo kwanza wanausikia leo.kuna nyaya nyaya ya line kubwa ilianguka.ng'ombe akajichanganya akaukanyaka safari ikamkuta.wangekuwa hawa wa mkoani wangekufa wote.najua wangetaka kuushika.wangekauka wengi.maana kila atakayetaka kumuokoa mwenzake.safari inamkuta.
 
Ah ah ah ah nilidhan kweli kuwa waka kama mwanjelwa my b

Watu muwe serious aisee
 
Acha ushamba.moto wa umeme hauna ujuaji.utakufa bure.wenzako hao hata umeme.hawaujui.ndo kwanza wanausikia leo.kuna nyaya nyaya ya line kubwa ilianguka.ng'ombe akajichanganya akaukanyaka safari ikamkuta.wangekuwa hawa wa mkoani wangekufa wote.najua wangetaka kuushika.wangekauka wengi.maana kila atakayetaka kumuokoa mwenzake.safari inamkuta.
Hamna kitu,tatizo mna maneno mengi na uoga
 
Acheni Dharau.Mnatusimangia waume zetu wa Dar.Njooni ninyi.basi muuzime.Umeme una mwanaume wa Dar au wa mkoani?Mtuwacheee Na waume zetu marijari!
Badala ya kuzima wanakimbilia Jf marijali gani hao??
 
😀😀😀 wanaume wa mikoani hapo wangekufa kama nyumbu 😀😀😀 angejifanya anazima mmoja anashika ananasa na mwingine ana mshika kumuokoa ananasa mlolongo unaendeleaa hivyoo😛😛😀😀
 
😀😀😀 wanaume wa mikoani hapo wangekufa kama nyumbu 😀😀😀 angejifanya anazima mmoja anashika ananasa na mwingine ana mshika kumuokoa ananasa mlolongo unaendeleaa hivyoo😛😛😀😀
Ushamba mzigo.wameshazoea kuni.
 
wanaume wa dar bwna .. moto wa kuwashia sigara nao wana uwogopa mbka waje zima moto ..
 
Wnaume dar bwana moto wa kuzimwa na mwanafunzi wa shule ya msingi mnasubiri fire waje kuzima
huu utani sijui nani mdhamini wake. napata burudani hasa japo unaingizwa hata kwenye masuala nyeti. sijui wakihamia dodoma utani utakuwaje?
 
Labda muwe mnatania!!!!moto wa umeme haumjui mtu hata awe mwanaume wa US analambwa tu,,,acheni kuwasimanga vidume wa daslamaaa🙂🙂🙂
 
Back
Top Bottom