Waziambie kooona Bado ipo zivumilie kipindi Cha taabu kitaisha tu.Wakafanyejea sasa
Yaap, inaitwa DRILL. Inatumika kupima uwezo wetu wa kukabiliana na janga iwapo litatokeaMazoezi ya utayari kutoka kikosi cha zimamoto
Itakua fire testingNimepigiwa sm na dogo anatoka gongo la mboto kuja mbagala anasema uwanja wa ndege watu wanakimbia ovyo wengine wameanguka ajui Kuna nini mliopo karibu tujuzeni
Eeeh!!!! Na hao wanaobebwa??? Sasa hii taharuki wenye presha wanaweza imbiwa parapanda???Yaap, inaitwa DRILL. Inatumika kupima uwezo wetu wa kukabiliana na janga iwapo litatokea
Inawezekana na familia hufanyiwa compensation ya kipesaEeeh!!!! Na hao wanaobebwa??? Sasa hii taharuki wenye presha wanaweza imbiwa parapanda???
Sasa hilo zoezi inakua hakuna kutoa taarifa kabla?Inawezekana na familia hufanyiwa compensation ya kipesa
Ukitoa taarifa maana ya zoezi hilo inatoweka.Sasa hilo zoezi inakua hakuna kutoa taarifa kabla?
Hua hawatoi taarifaSasa hilo zoezi inakua hakuna kutoa taarifa kabla?
Watakuja kutuua....Hua hawatoi taarifa
Watatuua kizembe....Ukitoa taarifa maana ya zoezi hilo inatoweka.
Evacuation drills hazina taarifa sio kama military drillsSasa hilo zoezi inakua hakuna kutoa taarifa kabla?
Watatuua kizembe....
Okay thanks, ndio nimejua leo...Hapana lengo ni kuona utayari wa watoa huduma za uokozi katika kuitikia kunapotokea janga la aina yoyote. Hivyo hata hao wanaopata mshtuko wanapaswa wahudumiwe maana ndio uhalisia huwa hivyo linapotokea janga.
Na je ni namna gani watu hufuata maelekezo bila ya kupanick
Labda bwana yule kaonekana kwenye uzinduzi
JF ipo kila mahali Mkuu..tungojee wadau..waje..Yawezekana dogo aliyempigia mleta Taarifa Alikuwa anakimbia kujiokoa pia,ikawa ngumu kutoa Taarifa za kina...Mpigie umuulize vizuri, sisi hatuko huko.
Kila kitu kimetengenezwa ndugu, kuanzia majeruhi, taarifa za taharuki nk. it is a STAGED eventEeeh!!!! Na hao wanaobebwa??? Sasa hii taharuki wenye presha wanaweza imbiwa parapanda???