Taharuki gani imetokea uwanja wa ndege wa kimataifa JK?

Hapana lengo ni kuona utayari wa watoa huduma za uokozi katika kuitikia kunapotokea janga la aina yoyote. Hivyo hata hao wanaopata mshtuko wanapaswa wahudumiwe maana ndio uhalisia huwa hivyo linapotokea janga.

Na je ni namna gani watu hufuata maelekezo bila ya kupanick
Watatuua kizembe....
 
Okay thanks, ndio nimejua leo...
Kuna maeneo huku huwa wanafanya sijui mazoezi ya mabomu, nlivokua mgeni almanusra nitoke ndani bila nguo hilo wenge, nafika nje watu wamerelax kumbe huwa ni kawaida
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom