mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,749
- 7,857
Ndiyo! Kwa sababu unataka kufahamu. Nitakujibu hivi, siwezi kuthibitisha kwa kuwa sina hela kama Musk.Mkuu,
Nikikutaka wewe unithibitishie kwamba una hela kuliko Elon Musk, wakati wewe hujasema kwamba una hela kuliko Elon Musk, utaona swali langu hilo lina mantiki?