TAHADHARI: Vijana wengi wanapoteza muda Dar es Salaam

Dar Kama una kazi inayokuweka na inakulipa ni pazuri lakini Kama ndio unga unga hapafai umri unaenda na hamna unachokifanya zaidi ya kula na kuvaa hayo sio maisha na siku ukirudi kijijin unakuwa huna pa kuanzia na ukiwaangalia uliowaacha Wana maisha

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
"Google kazi ya kufikiri"
[emoji115]

Unaweza kuonesha namna inavyofikiri ili utetee dai lako?
Nikikwambia umeipa Google kazi ya kufikiri maana yake nimekwambia Google inafikiri?

Nikikwambia umempa mbwa kazi ya kupiga gitaa maana yake nimekwambia mbwa anapiga gitaa?

Mbona unaonesha uwezo mdogo sana wa kuelewa hoja ndogo sana?

Kwa uwezo huu, hoja kubwa tutaelewana vipi?
 
Hoja ni nini kwani?
 
Ulimaanisha nini kusema nimeipa google kazi ya kufikiri? Unaweza kueleza?
 
Mimi niko hapa najibizana nawe, badala ya kujadiliana nami kw hoja zako, unanijibu ni Google.

Kazi ya kufikiri na kutoa majibu yako, umeipa Google.

Google inaweza kuwa na kila jibu, mpaka majibu yanayojipinga.
 
Kwa nini majibu yajipinge?
 
Hoja ni kwamba wewe huna hoja.
'Hoja ni nini? Hoja ni kwamba wewe huna hoja' sawa!

Kwa hiyo 'hoja ni kwamba wewe huna hoja' yako ya kusema google imepewa kazi ya kufikiri unaithibitishaje? Google inapokeaje kazi kutoka kwa mtu?
 
Marekani ya ku google [emoji16] wadanganye wajinga
Mkuu kwani mtanzania kufika Marekani wewe unaona kitu cha ajabu sana?

Kitu gani kinakufanya uone jambo hili la kawaida kabisa liwe kama la ajabu sana kwako?
 
Back
Top Bottom