Tahadhari: Utapeli huu saluni za kiume bongo haukubaliki

Teh!, wenzako wakienda huko wanaoshwa mpaka masikio..[emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua wakati mwingine unaweza chukulia poa kama hujui mie kuna siku tumeenda wote sikujua kaamishiwa sehemu nyingine njoo kiti hiki nikaona wanamfuata kimya kimya kinyozi akaagiza kiti cha pili nami nikakae pale duu nikauliza kulikoni hapa kuosha mwenyewe naosha nyumbani [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]

Haha, unaona sasa wanahamisha tu watu viti halafu hawaelezi vizuri sababu ya kufanya hivyo.
Na bado watakulazimisha kutoa hela eti..
 
Daah hizo saloon siyo hata kidogo aisee, mimi Kuna saloon moja hapo kinondoni siku za nyuma kidogo,niliingia kunyoa, kinyozi akamaliza ndevu na kichwa mara akaja binti balaa kuniosha, tukahama chumba mara nikaambiwa vua shati tuoshe, nikavua mara binti akasema uso wako huu una ngozi ya mafuta fanya scrub, huku anapapasa kifua, akaanza scrub na Kuninong'oneza kuwa kuna massage ya mwili mzima au nusu mwili pia, nikakataa, balaa likaanzia hapo, dada muda wote kichwa kinawekwa katikati ya maziwa yake huku ananitizama kupitia kwny kiyoo ninavyopata mzuka mara papasa sana kifua,nikaamsha dude, mrembo ananichungulia tu mara akanishika dude, huku akicheka kimahaba, vp umezidiwa nikajibu haswaa, binti akasema utanipa 30 elfu, nikajibu poa, nikaanza kunyonywa pipe wee, mpk wazungu hao, mara nikatoka binti kaleta bill elfu 50, aisee nililipa huku nikiwa sijielewi gari haina mafuta nilitaka kunywa bia nikashindwa ikabidi kunyooka home moja kwa moja kwa taabu sana, sitasahau hao Malaya kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haaaaa kuna waxing hatari kweli. Massage sio utamaduni wetu ndio maana inaishia kwenye ngono zembe. Pia wadada wa saluni wamekosa weredi ndio maana wanaishia kungonoka
 
Kwa vinyozi hawa hawa wa kisasa ambao mnaita Barber shop ...popote pale Tanzania kunya kichwa yaani kipara cha wembe na ndevu ni buku tano ...hiyo ndio rate yangu popote pale ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Kwanza haya masaluni makubwa vinyozi wao hawajui kunyoa. Mm chakula tu ndio naweza kwenda kula hata 5 star hotel, ila kunyoa saluni za hivyo siendi. Kwanza wanatabia ya kumpimia mtu kwa kumtazama, alaf utaona dharau zao zinavyoanza.
 
Daah hizo saloon siyo hata kidogo aisee, mimi Kuna saloon moja hapo kinondoni siku za nyuma kidogo,niliingia kunyoa, kinyozi akamaliza ndevu na kichwa mara akaja binti balaa kuniosha, tukahama chumba mara nikaambiwa vua shati tuoshe, nikavua mara binti akasema uso wako huu una ngozi ya mafuta fanya scrub, huku anapapasa kifua, akaanza scrub na Kuninong'oneza kuwa kuna massage ya mwili mzima au nusu mwili pia, nikakataa, balaa likaanzia hapo, dada muda wote kichwa kinawekwa katikati ya maziwa yake huku ananitizama kupitia kwny kiyoo ninavyopata mzuka mara papasa sana kifua,nikaamsha dude, mrembo ananichungulia tu mara akanishika dude, huku akicheka kimahaba, vp umezidiwa nikajibu haswaa, binti akasema utanipa 30 elfu, nikajibu poa, nikaanza kunyonywa pipe wee, mpk wazungu hao, mara nikatoka binti kaleta bill elfu 50, aisee nililipa huku nikiwa sijielewi gari haina mafuta nilitaka kunywa bia nikashindwa ikabidi kunyooka home moja kwa moja kwa taabu sana, sitasahau hao Malaya kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji2] [emoji2] [emoji2] aiseee
 
Pale sinza maeneo ya Palestrina ,kuna barber shop mpya (haina jina) wao wanaiita saloon mpya,na wenyewe wana tabia hizo,hawaandiki bei,unashangaa wanakulazimisha scrubbing, steaming n.k ,mwisho wa siku wanakuambia 40,000. Hawa jamaa hatari sana. Kwa kifupi sinza kumejaa utapeli sana .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndiyo mrejesho wa biashara hulia huo. Kaa utulie sindano zikuingie. Bora hao angalau unakuwa kweli umepata hizo huduma zote, kuliko mafisadi,wezi na vibaka ambao hata hupati faida zaidi unasmbulia kipigo , majeraha na ulemavu hadi kifo kwa Mali zako.

Any way, nunua machine yako jinyolee home kwako. Ni rahisi sana.
 
Back
Top Bottom