Tahadhari members: Jinsi ya kuepuka ban.

Tahadhari members: Jinsi ya kuepuka ban.

Mr Rocky mimi mzima mkuu, kuhusu sweetlady yeye yuko Australia na mabosi wake Mungi na Lily Flower. Erickb52 amesafirisha zile nyara kwenda Pakistan kwa dege la gesh wauulize hata Baba V na Mamndenyi. Ukimuona St. Paka Mweusi mpe hi.

Habari yake bhana Arushaone, huku Australia mimi na Mungi hatujambo kabisa ila sweetlady alitukimbia eyapot hatujui aliko pole yake Mr Rocky kupungukiwa na mwimba kwaya sweetlady, amechenguka na mijibaba ya huku, nimeamini kunguru hafugiki.
 
Last edited by a moderator:
mkuu Arushaone Erickb52 Mr. Rocky vipi jamani mbona hamnipi feedback mmeshapeleka ile barua ya posa??/
 
Last edited by a moderator:
Lily Flower si nasikia wewe na Mungi ndio mlimuuza kwa kibabu huko baada ya viza yake kuisha akataka kurudishwa nyumbani kwa nguvu mkamtafutia kibabu
Na nitawashtaki ubalozini huko kwa kufanya biashara ya kuuza binadam
sweetlady nafanya mchakato wa kukutumia cash aise urudi nyumbani bana achana na Lily Flower na Mungi hao ni matapeli
Arushaone ile barua iko wapi aise mbona siioni usije kuta ulifungia maandazi aise
stevoh tunaitafuta ile barua bana sijui Arushaone na Erickb52 wameiweka wapi
 
Last edited by a moderator:
Mr Rocky barua ya kwa mzee Hunbig ninayo, J'mosi fanya tumpitie Erickb52. Halafu julisha wote kuwa kuanzia sasa mtu akipigwa BAN hakuna lawama tena kwa Buchanan. OK?
 
Last edited by a moderator:
Arushaone aise tuipeleke bana stevoh asije akasema tunamkatalia kuoa bana

satadei na wakati leo ni wesdei? Mimi nilikua nataka nichukue kigori mwezi huu huu wa kwanza?? Pelekeni kesho. Alhamisi afanyiwe mfukuzo a.k.a send off zeni Jumamosi nachukua kigori.
 
Last edited by a moderator:
Arushaone imekaa njema tutafutane tufanye mchakato mapema kabla ya satadei aise
stevoh usiwe na shaka bana we amini mambo yatakuwa mema
Mnenionea wapi Erickb52 aise
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom