Tahadhari members: Jinsi ya kuepuka ban.

Tahadhari members: Jinsi ya kuepuka ban.

Ban zinipitie pembeni mie.

manoah wewe ndie unayepaswa kupita pembeni ya BAN kwani unakopita koote kumejaa BAN. Ni wajibu wako kutozikanyaga kwani zitakulipukia. MUNGU akusaidie though.
 
Last edited by a moderator:
Habari za asubuhi Arushaone ! Ni, kweli kaka na hata sasa ivi nachagua sana thread za kuchangia, ili kuepuka kutoleana lugha mbaya na mtu.
manoah wewe ndie unayepaswa kupita pembeni ya BAN kwani unakopita koote kumejaa BAN. Ni wajibu wako kutozikanyaga kwani zitakulipukia. MUNGU akusaidie though.
 
Last edited by a moderator:
Mr Rocky mie mzima kaka, huku kuna watu walijituma kuja kuchafua hali ya hewa. Ila sie wenyewe tunapendana sana
 
Last edited by a moderator:
Habari za asubuhi Arushaone ! Ni kweli kaka na hata sasa ivi nachagua sana thread za kuchangia, ili kuepuka kutoleana lugha mbaya na mtu.

Promise you won't argue with fools and GOD will help you manoah.
 
Last edited by a moderator:
Ingekuwa nina uwezo wa kuwapa adhabu ningekata kidole kimoja kimoja kila mkono under one condition. Kama anatumia simu namkata dole gumba kila mkono. Kama anaumia pc namkata kidole kinachofata baada ya dole gumba.
 
Kuna members wanao7bisha members wengine kapata BAN. % kubwa mwanzisha hapati BAN isipokuwa wachangiaji wa thread husika.

Nifupishe maongezi kwa kukutafadhalisha usipost chochote kama thread imekaa kichokozi.

Muepuke mjinga ufike safari yako.
una akili sana wewe!
 
Ingekuwa nina uwezo wa kuwapa adhabu ningekata kidole kimoja kimoja kila mkono under one condition. Kama anatumia simu namkata dole gumba kila mkono. Kama anaumia pc namkata kidole kinachofata baada ya dole gumba.

My sweetheart stevoh,mbona umeadimika hivyo?
Enhee,harusi yetu lini?
 
Last edited by a moderator:
walaa usihofu nilikua nimetoka kidogo ila nimerudi. sijapewa feedback kama bro wangu Mr. Rocky na Arushaone kama wamepeleka posa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom