Kwani ni crime kusafiri na mtu aliyeolewa Jamani ? Ubavu wangu wa pili na wa watu8 walikuwa na taarifa.
poa nimekupata muelimishaji rika
Sorry marejesho, lile deal la Clouds Tours nilichomoa, kisungura chao nilikiona kidogo na majukumu yao yalikuwa ni makubwa, ya nini kujizeesha, nikabwaga manyanga.Lol!!!!!Nilitegemea Clouds Travel ingetupatia bonge la Tour lakini ndio hivyo tena,!!!
Sorry marejesho, lile deal la Clouds Tours nilichomoa, kisungura chao nilikiona kidogo na majukumu yao yalikuwa ni makubwa, ya nini kujizeesha, nikabwaga manyanga.
Niko Pemba kwa sasa, kuna deal nimelifuatilia huku
Mambo ummu kulthum! Waja lini Arusha? Tuna mpango wa kuifanya JF Singapore iwe subsidiary ya JF Arusha kama ilivyo JF Tanga. Kama unaafiki nyosha mkono kama huafiki piga kimya.