Tahadhari members: Jinsi ya kuepuka ban.

Tahadhari members: Jinsi ya kuepuka ban.

Arushaone

Platinum Member
Joined
Mar 31, 2012
Posts
15,237
Reaction score
13,567
Kuna members wanao7bisha members wengine kapata BAN. % kubwa mwanzisha hapati BAN isipokuwa wachangiaji wa thread husika.

Nifupishe maongezi kwa kukutafadhalisha usipost chochote kama thread imekaa kichokozi.

Muepuke mjinga ufike safari yako.
 
Gud morning president,,naomba uchukue uamuzi mgumu kuhusu hili suala.
 
Gud morning president,,naomba uchukue uamuzi mgumu kuhusu hili suala.

Wananchi wote wa chitchat wakiamua wanaweza. Kama kuna mamluki tunapotezea thread yake then atajiuliza what's wrong. Then atajirekebisha tu!
 
Lile neno 'sababisha' umeliandika wewe!??
 
''muepuke mjinga ufike safari yako''.......
msg ya ukweli.
 
Last edited by a moderator:
Hii ndio busara, CC ni sehemu ya marafiki kuchombezana kwa kauli nzuri na zenye utani wa hapa na pale. Habari ya matusi sijui imeanza lini??? am still puzzled

Wananchi wote wa chitchat wakiamua wanaweza. Kama kuna mamluki tunapotezea thread yake then atajiuliza what's wrong. Then atajirekebisha tu!
 
Mimi huwa sitaki tabu,badala ya kupost kwenye Hiyo thread ya kutafutiana Ban, huwa nabonyeza zangu IGNORE maisha yanaendelea.Ndio maana nimeweza kukwepa BAN muda wote wa JF.
 
Hii ndio busara, CC ni sehemu ya marafiki kuchimbezana kwa kauli nzuri na zenye utani wa hapa na pale. Habari ya matusi sijui imeanza lini??? am still puzzled

Hawa wanaotukana walijikuta wako CC kwa bahati mbaya. Baadhi Yao wanajulikana tuwaweke kwenye ignore list maisha yasonge mbele
 
Hii ndio busara, CC ni sehemu ya marafiki kuchombezana kwa kauli nzuri na zenye utani wa hapa na pale. Habari ya matusi sijui imeanza lini??? am still puzzled

Wanaboa sana watu dizain ya utamaduni wa chuki watu8.
 
Last edited by a moderator:
Hawa wanaotukana walijikuta wako CC kwa bahati mbaya. Baadhi Yao wanajulikana tuwaweke kwenye ignore list maisha yasonge mbele

Watu wengine wana maudhi sana marejesho. Ahsante kwa elimu. BTW nimekumis than Filipo
 
Last edited by a moderator:
Hawa wanaotukana walijikuta wako CC kwa bahati mbaya. Baadhi Yao wanajulikana tuwaweke kwenye ignore list maisha yasonge mbele

ni kweli kabisa...wakati mwingine kuwa kimya ni rejection moja nzuri tu!
 
Hahaha yule bibie sijui alijichimbia wapi lol!!

Nashukuru shem wangu wa ukweli. Nimerudi salama baada ya kuwa nje ya mkoa kwa muda.Nasikitika jitihada zangu na watu8 za kumsaka Zinduna ziligonga mwamba
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom